MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 12,695
- 31,499
Amani iwe mioyoni mwenu wana JF
Wahenga wanasema: mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni
Kwa kipindi kifupi, hadithi zimekua nyingi sana, na dhima kuu ni kwamba nchi inauzwa.
Sasa basi, nini maana ya kuuza nchi?
Literally, unaweza ukafanya presumption kwamba serikali inatoa watu wote kwenye territory ya Tanzania na kuwahamisha kusikojulikana na kuwapa wageni ardhi na rasilimali zote.
Aidha, ukifuatilia kwa makini utagundua dhana hii ya kuuza nchi inatumika deliberately kuonesha dissatisfaction pale kwenye hisia kwamba, pengine wageni watapata fursa ya kutumia au kuendesha rasilimali zetu.
Kimsingi, ile unfounded fear of unknown and to be exposed to unfamiliar territories loads to speculation kwamba pengine tunapigwa, hence nchi inauzwa.
Kukosekana kwa taarifa, deliberately or by calcution, kuna wapa wananchi no option other than concluding that nchi inauzwa.
Bado naendelea kusisitiza, taarifa rasmi zitolewe. Nchi siyo maharage au maandazi kwamba yanaweza kuuzwa.
Linalopaswa kusemwa lisemwe, wananchi wapime, taharuki zikome.