Kuumizwa

mtoa mada, me naweza kusema hivi. unapokwenda kuanza mahusiano kwa hasira ulizotokanazo kwa x utakuwa unajiumiza mwenyewe.. . kwani huyo mpya hazimuhusu na utakapo kuwa kwake na hasira mwishowe utamchukulia poa kumbe ndo alikuwa wa maana kwako! me huwa nina formula moja,nikiachana na mtu huwa sipendi kukumbuka chochote kumhusu, najiachia kwa niliye naye as if ndo wa kwanza kwangu. sipendi kuweka kinyongo na ex kisa kaniacha/tumeachana. huko ni kujiumiza. nakubali matokeo kisha nasonga mbele!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom