Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 25,245
- 60,446
- Thread starter
- #41
Perfume tu ya buku unashindwa kununua sembuse bei๐ ๐
๐๐
Perfume tu ya buku unashindwa kununua sembuse bei๐ ๐
Nikiwa form 3 nimetoka mchikichini tuition kwenye pindi huyoo mpaka pande za posta naenda kula upepo wa bahari si nikakutana na kimgahawa mshenzi nikaagiza wali nyama mixer njegele nikijua ni bei zetu za buku jero. Kupiga bill imekuja 4000, balance inasoma 2000 ambayo ni pamoja na nauli, ashukuriwe bro wangu alienifanyia muamala chap ila yasikukute
Kabisa asee Bora ukahoji bei mapema ukiona huridhiki vyema kuachaWabongo wanatabia ya kukariri na kukadiria Huduma za Watu. Sasa Dawa Yao ni hiyo
salio likiwa linasoma kila sehemu huwezi uliza bei
Asee umetema madini kama kawaida yako taikon hii inatukuta sana vijana tukiwa nahivi videmu unaagiza tu naunalipa huku moyon unaumia iliwakunitokea mliman city ice cream moja elf 12 dadekKUULIZA BEI KABLA YA KULA UWAPO OUTING NI AKILI NA KUJIAMINI LAKINI MALOFA HUONA AIBU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mmetoka out, mmefika kwenye mgahawa, mnaagiza chakula. Huoni aibu kuagiza chakula lakini unaona aibu kuulizia bei
Mkuu huyo mpumbavu anastaajabisha sana๐๐๐anajionaga anaandika vya maana kumbe pumba tupu. Afu anadhani watu huwa wanasoma haya makorokochoKweli mna mda usio na kazi
WA hovyo sana alisema yeye anachoweza kuofa kwa mpenzi wake ni K tuKuna binti wa hovyo huwa anaona aibu mpenzi wake kuuliza bei kabla.
Kuna wahudumu wahuni watakuuzia bei tofauti kulingana na ulivyozumbukuku, kutapeliwa ni kubaya hata kama ni hela kidogo tuUkienda Mlimani city una idea ya bei ya soda, at least kadiria 3000, mimi huwa sina haja ya kuuliza maana naenda mahali ninapo class napo. HUWA nimekuwa makini wakati nipo USA na Poland, ila Tanzania? Sina sababu ya kuuliza bei.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNiliwahi kwenda Mwanza kwenye shughuli fulani,pembezoni ya hotel tuliyokuwapo palikuwa na mgahawa mzuri tu. Nikaulizia mchemsho samaki unagharimu kiasi gani? Nikaambiwa Tsh.11000.00 nikambiwa hiyo ni samaki kichwa,yaan nusu,nikaona kama ni bei sana. Basi nkamwambia naomba chai ya maziwa na chapati mbili,hapo sikuuliza bei nkijua itakuwa ni kama bei zetu zile๐๐๐,bill imekuja ni Tsh. 8000.00,nilitukana matusi yote kimoyomoyo ila nikalipa. Kama ningeuliza bei ya chai na chapati basi bila shaka ningechagua mchemsho wa samaki.
Kuuliza bei kabla ya kuagiza ni jambo sahihi kabisa.
Hii sawa na mkataba wa bandari, unatia saini tu hujui huko mbele kuna manufaa au hasara. WaTz tubadilike!Siyo malofa mkuu,pesa,pesa.... wenye pesa.ukiwa na pesa huteseki
Asee umetema madini kama kawaida yako taikon hii inatukuta sana vijana tukiwa nahivi videmu unaagiza tu naunalipa huku moyon unaumia iliwakunitokea mliman city ice cream moja elf 12 dadek
Acha ufara wewe mbona unasoma mshamba weweMkuu huyo mpumbavu anastaajabisha sanaanajionaga anaandika vya maana kumbe pumba tupu. Afu anadhani watu huwa wanasoma haya makorokocho
Bro Big up sana Mkuu ! Maandiko yako yamekuwa Bible ndogo kwangu kila siku nasoma walau thread moja - nakuchukua madini ya ukweli , ahahaha nakaribia ku - graduate na kuwa Mtibeli kamili - na nitakutafuta unisimike rasmi . Kiukweli Bro unafundisha watu kuwa Solid na kurudisha jamii ile ya zamani yenye watu wa kujielewa ,misimamo na kujuamini - kitu ambacho Dunia ya leo na mambo yake inatoa product ya binadamu soft sana mpaka huruma.Mkuu tupe vitu vigumu tuwe wagumu , nawasilisha !Yeah. Ndio maana wameweka bei
๐๐๐Niliwahi kwenda Mwanza kwenye shughuli fulani,pembezoni ya hotel tuliyokuwapo palikuwa na mgahawa mzuri tu. Nikaulizia mchemsho samaki unagharimu kiasi gani? Nikaambiwa Tsh.11000.00 nikambiwa hiyo ni samaki kichwa,yaan nusu,nikaona kama ni bei sana. Basi nkamwambia naomba chai ya maziwa na chapati mbili,hapo sikuuliza bei nkijua itakuwa ni kama bei zetu zile๐๐๐,bill imekuja ni Tsh. 8000.00,nilitukana matusi yote kimoyomoyo ila nikalipa. Kama ningeuliza bei ya chai na chapati basi bila shaka ningechagua mchemsho wa samaki.
Kuuliza bei kabla ya kuagiza ni jambo sahihi kabisa.