Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,502
- 6,403
Tupeni yanayojili huko!
Hali ya Mh ikoje
Hali ya Mh ikoje
anarudi Kisongo tena?!Updates. .....
Uamuzi kuhusu dhamana ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema utatolewa tarehe 14.12.2016
Mawakili wajipange lema aachiwe...sema so vyema kuota ota..lema aachiwe
Danadana hizi..Updates. .....
Uamuzi kuhusu dhamana ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema utatolewa tarehe 14.12.2016
Sasa baada ya Tarehe 2 wamuongeze wiki nyingine iwe Tarehe 9 January maana anasumbua mahakamaUpdates. .....
Uamuzi kuhusu dhamana ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema utatolewa tarehe 14.12.2016
Wasipo enda mnasema wamsusa, kwa mfano kuna mtu aliandika humu kuwa hata msigwa na lissu hawataki kumwonaChadema bana,hivi huwa wanadhani kurundikana mahakamani ndio kunaweza kubadili maamuzi ya mahakama?
Mh Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amerudishwa Rumande hadi tar 14 Desember 2016 ambapo mahakama itatoa maamuzi ya Rufaa iliyosomwa leo mbele ya Jaji Dr Opio.
Chadema bana,hivi huwa wanadhani kurundikana mahakamani ndio kunaweza kubadili maamuzi ya mahakama?
Au kuhudhuria msibani watu wengi siyo kumfufua maiti. Kufarijiana ndo utamaduni wetusawa sawa na watu wengi kwenda kumuona mgonjwa hospitali ,hakusaidii chochote ila ni utamaduni wetu sisi watanzania kufarijiana wakati wa shida.na hiyo ni ishara moja wapo ya urafiki wa kweli na mshikamano thabiti.
Wewe!hahahahahahahahahaLema ana haki zote Kikatiba na Kisheria kutoka kwa dhamana!
Tunajua kinachoendelea hapo Arusha ni figisu figisu za kipumbaf za kupindisha sheria ili Lema aendelee kusota rimande!
Kosa lenyewe ni NDOTO! Sijui tangu lini nchi yetu imeanza kushtaki na kufunga watu kwa kosa la ndoto inayomhusu Rais!!!??
Hivi nani atakuwa shahidi wa hiyo ndoto? Kitanda, usingizi au Mungu?
Kuna watalaamu wa kufasiri ndoto, alikuwepo Sheikh Yahya Hussein(RIP)kwa vile hayupo hai lakini yuko mtoto wake aliyerithishwa mikoba basi tunaomba kesi ikianza kuunguruma aitwe Mahakamani atueleze maana ya ndoto ya Lema!
Nakumbuka baba yake Sheikh Yahya Hussein kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka 2005 alitabiri/aliota Tanzania ingelipata Rais mwanamke! Baada ya Uchaguzi na JK kuchaguliwa alipoulizwa Sheikh Yahya akasema JK ni handsome na anafanana na mwanamke! Mbona Serikali haikumshtaki Mnajimu yule kwa kutamka hayo?
Mpaka Christmas ipite.. [HASHTAG]#Lema[/HASHTAG] juzi si aliwaambia mawakili wasiangaike tena sasa alikuja kufanya nini mahakamani Leo Lema, angebaki huko huko Rumande.. Eti msiangaike alafu Leo anakuja tena mahakamani.. Namshauri Lema ata tarehe 14 asije mahakamani yeye si amesema mpaka dola itakapo amua#Arusha_Update : Mh Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amerudishwa Rumande hadi Tarehe 14 Desember 2016 ambapo mahakama itatoa maamuzi ya Rufaa iliyosomwa leo mbele ya Jaji Dr Opio.
Hakuna ilo sahau.. Mahakamani hukuna ishu ya matumaini ishu sheria inatakaje.. #Matumaini_muachie_lowasaNi matumaini yetu kuwa leo atatolewa
Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa -------LemaHivi Lowasa kwanini ajaenda kumjulia hali Lema au bado Lowasa ana kinyongo sana
Mpaka Christmas ipite..
Asipokuja wewe utafaidika na kipi?[HASHTAG]#Lema[/HASHTAG] juzi si aliwaambia mawakili wasiangaike tena sasa alikuja kufanya nini mahakamani Leo Lema, angebaki huko huko Rumande.. Eti msiangaike alafu Leo anakuja tena mahakamani.. Namshauri Lema ata tarehe 14 asije mahakamani yeye si amesema mpaka dola itakapo amua