Kutoka kituo cha polisi Moshi jambazi auliwa

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
122
Nipo hapa kituo cha polisi, kitu kinachoendelea jambazi mmoja aliyesadikiwa kuwa na silaha katika begi amepigwa na polisi hadi kufariki na kupelekwa mawenzi hospital.

Kisa:
coaster inayofanya safari kati ya moshi na rombo ilikuwa imebeba abira akiwa na huyo jambazi. Polisi walipata taarifa na kulifuatilia gari, kufika kituoni jamaa aligoma kushuka na kuliachia begi lililokuwa na risasi nyingi pamoja na silaha, ndipo polisi walipotembeza kicha hadi kupelekea mauti. Coaster bado limeshikiliwa kituoni pamoja na abiria wote.
Nawasilisha.
 
Is that how the police handle crime suspects? They couldn't use tear gas or something to force him out...! Ndo maana wakikukamata tu hata kama una-cooperate wanakupiga makofi na tanganyika jeki bila sababu..
 
Ngoja wawapunguze, maana majambazi nao hawana huruma, wanachuma kule ambako hawakupanda, wanakusanya kule ambako hawakutawanya.
 
Is that how the police handle crime suspects? They couldn't use tear gas or something to force him out...! Ndo maana wakikukamata tu hata kama una-cooperate wanakupiga makofi na tanganyika jeki bila sababu..

In that respect, I salute the police. Let them reduce the majambazis up to nothing.
 
polisi wanaua raia km kuku, wamemuhisi mtu kw anabastola na risasi, wamepeleka costa na abiria wote polisi, hata kama hy mhisiwa alikataa kushuka na kusachiwa walitakiwa kutumia uzoefu wao waliofundishwa kushusha na kumsachi na kama ni kweli alikua na silaha walipaswa kumfungulia mashtaka na kumfunga si kumpiga hadi kumuua. HV TUME YA HAKI ZA BINADAMU INAFANYA KAZI GANI HP TZ MANA HAWA ASKARI WAMEZIDI ??
 
siku wakija kwako na kukufanyizia ndio utaulizia wapi haki za binadamu
hawa watu huwajui vema hawana utu hata kidogo
wanaweza kukuibia na kukubaka mbele ya wanao na hata wanao pia
polisi wanaua raia km kuku, wamemuhisi mtu kw anabastola na risasi, wamepeleka costa na abiria wote polisi, hata kama hy mhisiwa alikataa kushuka na kusachiwa walitakiwa kutumia uzoefu wao waliofundishwa kushusha na kumsachi na kama ni kweli alikua na silaha walipaswa kumfungulia mashtaka na kumfunga si kumpiga hadi kumuua. HV TUME YA HAKI ZA BINADAMU INAFANYA KAZI GANI HP TZ MANA HAWA ASKARI WAMEZIDI ??
 
polisi wanaua raia km kuku, wamemuhisi mtu kw anabastola na risasi, wamepeleka costa na abiria wote polisi, hata kama hy mhisiwa alikataa kushuka na kusachiwa walitakiwa kutumia uzoefu wao waliofundishwa kushusha na kumsachi na kama ni kweli alikua na silaha walipaswa kumfungulia mashtaka na kumfunga si kumpiga hadi kumuua. HV TUME YA HAKI ZA BINADAMU INAFANYA KAZI GANI HP TZ MANA HAWA ASKARI WAMEZIDI ??

Si ndio nyie mnalalamika wahalifu wakipelekwa polisi kesho mnawakuta mtaani tena kama kawa,leo polisi wamefanya kweli mnawalaumu tena?!! Loh!
 
polisi ni majambazi, ukiona jambazi amekamatwa na polisi ujue alikataa kuwapa mgao
 
Nipo hapa kituo cha polisi, kitu kinachoendelea jambazi mmoja aliyesadikiwa kuwa na silaha katika begi amepigwa na polisi hadi kufariki na kupelekwa mawenzi hospital.

Kisa:
coaster inayofanya safari kati ya moshi na rombo ilikuwa imebeba abira akiwa na huyo jambazi. Polisi walipata taarifa na kulifuatilia gari, kufika kituoni jamaa aligoma kushuka na kuliachia begi lililokuwa na risasi nyingi pamoja na silaha, ndipo polisi walipotembeza kicha hadi kupelekea mauti. Coaster bado limeshikiliwa kituoni pamoja na abiria wote.
Nawasilisha.

Abiria waachiwe kwani kama ni ushahidi wameshautoa. Shughuli za kimaendeleo hukwamishwa na polisi katika matukio kama haya bila sababu ya msingi
 
nani kasema jamaa ni jambazi kwani ameiba wapi?kuwa na silaha anaweza anamiliki kihalali pia,polisi hwapaswi kuua mtu kwa kuwa na hisia tu,umejauaje kama bunduki haikuwa hata yake imepandikizwa tu kwenye basi na uwt au {alikuwa kaweka mfuko wa suruali hahaa,} kumbukeni wale wafanyabiashara wa madini toka morogoro waliuwawa kwa kisingizio hicho hicho eti jambazi,{kesi ya zombe},wangekuwa wanajibishana risasi na polisi hapo sawa nakubali wanaweza kuuwawa lakini sio coldblood murder,inauma kuona kuwa watu wengine waunga mkono mauaji,ipo siku watakutana na polisi watapigwa mokofi/au ndugu yako atauwawa bila sababu ndo watajua ubaya wa kutokufuata sheria kama ni jambazi apelekwe mahakamani ,mwishowe itakuwa ukiwa na visa na polisi anaku set anakuuawa anasema ulikuwa jambazi .watz tufuate sheria jamani
 
Back
Top Bottom