Kutoa ute kama povu ukeni

Maayo

JF-Expert Member
Jul 21, 2011
317
48
Habari wana jf doctor! Et mwanamke kutokwa na ute ukeni unaofanana na povu la sabuni ni kawaida au tatizo?
 
Labda mtoaji maada ungetueleza kwa ufupi historia ya hiyo hali.
kwani kwa kifupi tu naweza kukujibu kuwa inaweza kuwa ni tatizo au siyo tatizo na nikawaida.
 
kakimbia hayupo serious huyu..
ute huwa unatoka wakati wakujamiana kama kilainishi kule ukeni sasa sijajua huo ute wako unatoka muda gani..
 
Labda mtoaji maada ungetueleza kwa ufupi historia ya hiyo hali.
kwani kwa kifupi tu naweza kukujibu kuwa inaweza kuwa ni tatizo au siyo tatizo na nikawaida.

Nina muda wa 4 moths cjafanya mapenzi na hii hal imeanza kunipata ni mwezi mmoja sasa. Ni kwamba kuna wakat nahisi kama kuna vitu vinapasukapasuka ukeni na nikiingiza kidole natoa kitu kama povu. Ni nini hicho?
 
unahitaji kujamiiwa .....
Tafadhali ni-PM..........!!!
 
Kuna hilo povu linaandamana na kuwashwa, unaweza ukawa hali iitwayo TRICHOMONIASIS. Kamwone Dr au ni-PM
 
Nina muda wa 4 moths cjafanya mapenzi na hii hal imeanza kunipata ni mwezi mmoja sasa. Ni kwamba kuna wakat nahisi kama kuna vitu vinapasukapasuka ukeni na nikiingiza kidole natoa kitu kama povu. Ni nini hicho?
Usiingize tena vidole huko. Hiyo tabia ya kuingiza ingiza vidole huko ndiyo chanzo cha tatizo. labda kama unapafanyia usafi.
 
Back
Top Bottom