Kutengeneza hela kwa scenes za mapenzi kwa wapenzi au wanandoa

Hii kuwa real inawezekana kwetu wanaume,hasa hizo scenes za kuanza malove love sisi tunakuaga si akili yetu ila wanawake wanaweza fake asee.

labla ukiwa kama producer wanawake uwatafute wa kizaramo,kitanga tanga huko atleast ila kuna wale wengine wanakuaga kama "MAGOGO" haigizi kuwa gogo ila ndivyo alivyo.

sasa sijui mtu wa namna hii atanogeshaje Series yetu pendwa,ni lazima uanzshe kitu kama Bongo Star search au kitu kama ile ya Big Brother kisha watakao ibuka washindi ndio waingie kwenye mtanange.

ila ukichukua chukua tu kwakua watu n wapenzi kweli,kuna vimakosa vitatokea hasa eneo la ushughulikaji (upande wa ke) na eneo la sauti (upande wa ke) kuna ke hata umsugue vipi Hatoi mlio hata wa Nokia ya tochi,ni bubu hadi unaweza simamisha shoo ukamuita kidogo umskie "yupo hai au kashajifia"
 
Soul food ni series iliyokuwa inaigizwa
Fiction..

Wewe inaongelea 'reality TV show '.
Ambazo kama kweli ni reality huwezi jua nini kitatokea mbele .....

Sio lazima ziwepo hizo scene kwenye reality TV Kwa sababu sio fiction wala maigizo..

Kingine unajua jinsi series zinavyoingiza hela?
Aliekuambia sex scenes zinaingiza hela sana nani?
Acha kujifanya mjuaji. Najua zaidi yako nyamaza.
 
Sasa mi sioni msingi wa malalamiko yako, maana umesema kuna Tv stations huonesha maudhui hayo. Basi wapelekee huko sisi tuyakuona huko huko etv ukidinyana na mkeo live.
 
We kweli kichwa maji,hivi mark zuckerberg wakati anaanzisha facebook unafikiri hivi vitu alikuwa havijui?Vipi kuhusu Tesla,vipi kuhusu Alibaba,vipi kuhusu Jeff bezos,au fifty cent na Akon,hawa watu wanaishi USA,kwenye ambako hayo madudu uliyoyaeleza yanafanyika, Mbona hawakujiwekeza huko?kama wao hawakufsnya hivyo,Tena wanaishi US,sasa wewe ni nani wakututusi kwamba sie washamba hatutaweza kuelewa hayo mambo,maana wewe ni mzungu mweusi!
Kama unapesa nenda kafanyie SA,au Nigeria,harafu uje uwekeze bongo kwenye biashara ambazo zinakubarika kwa sie"washamba"
Kama umepata exposure,na Cha Kwanza kufikiria Ili upige hela ni porno?basi wewe kichwa yako imejaa maji.
Mkuu mbona unatoa povu tu lakini haueleweki unachoongoa?
 
Kama unaona Ndugai wa TCRA na Film Board watakubana, basi tengeneza web series! Hiyo itapata viewers duniani kote, na ikiwa kali, inaweza kununuliwa na vituo vya mbele ili uiendeleze from web series to other mediums.
 
Okay kwa kuwa kuna scenes zinahamasisha ngono mie kwangu hii deal ninheipitisha kwa dustbin
 
Hii kuwa real inawezekana kwetu wanaume,hasa hizo scenes za kuanza malove love sisi tunakuaga si akili yetu ila wanawake wanaweza fake asee.

labla ukiwa kama producer wanawake uwatafute wa kizaramo,kitanga tanga huko atleast ila kuna wale wengine wanakuaga kama "MAGOGO" haigizi kuwa gogo ila ndivyo alivyo.

sasa sijui mtu wa namna hii atanogeshaje Series yetu pendwa,ni lazima uanzshe kitu kama Bongo Star search au kitu kama ile ya Big Brother kisha watakao ibuka washindi ndio waingie kwenye mtanange.

ila ukichukua chukua tu kwakua watu n wapenzi kweli,kuna vimakosa vitatokea hasa eneo la ushughulikaji (upande wa ke) na eneo la sauti (upande wa ke) kuna ke hata umsugue vipi Hatoi mlio hata wa Nokia ya tochi,ni bubu hadi unaweza simamisha shoo ukamuita kidogo umskie "yupo hai au kashajifia"
Nimekupata mkuu. Maoni yako yanamake sense sana. Swala hii series haitakiwi kuwa kama maigizo, kama ni maigizo labda kwa asilimia ndogo sana. Wapenzi au wanandoa wa ukweli kweli ndio wanahitajika. Akiwa gogo ndio uhalisia wake, akiwa hana miguno ndio uhalisia wenyewe.
 
Pesa zitapgwa sana,lakin hcho ktu kwa nchi hakiwez ruhusiwa kamwe,labda mwaka 2100
 
Kama unaona Ndugai wa TCRA na Film Board watakubana, basi tengeneza web series! Hiyo itapata viewers duniani kote, na ikiwa kali, inaweza kununuliwa na vituo vya mbele ili uiendeleze from web series to other mediums.
Wazo zuri sana hili mkuu.
 
Unajua kuna fursa nzuri sana ya kupiga hela nyingi sana na kukufanya kuwa famous kwa muda mfupi kama nchi yetu ingekuwa haina mambo ya kishamba. Nayaita mambo ya kishamba kwa sababu dunia imebadirika sana lakini nchi yetu haitaki kubadirika. Kuna vitu kwa nchi zingine ni vya kawaida sana lakini hapa vinaonekana ni taboo. Yaani kuna vitu ni sehemu ya maisha na vinafanyika, na hata hao wanaovizuia visifanyike wanavifanya lakini ku-acknowledge kuwa wakati ni ukuta ukipingana nao utaumia mwenyewe hawataki.

Kuna wazo moja limeniijia kichwani na ni wazo zuri sana la kutengeneza hela na yeyote atakayeweza kuliweka in practice lazima aogelee hela mpaka azichoke.
Kuna series moja kutoka Marekani inaitwa Soul food kama sijakosea jina lake. Ilikuwa inarushwa na kituo kimoja cha television cha etv cha South africa. Hiyo series inaonyesha real life ya wapenzi au wanandoa. Unajua watu wakiigiza au konyesha real life huwa wanavutia sana, huwezi kuchoka kuwatizama. Nadhani wahusika wa hiyo series walikuwa wapenzi halisi au wanandoa halisi, na kama hawakuwa wapenzi au wanandoa halisi basi walidhamiria kuonyesha real life ya mahusiano.

Nafikiria kuanzisha kitu cha namna hiyo hapa Tanzania ila kwa sababu ya ushamba wa nchi yetu series yangu haitarushwa hewani na kituo chochote cha TV hapa nchini maana kutakuwa na scenes za kupigana miti live japo haitakuwa too explicit. Yaani ikifikia scene ya tendo la ndoa inaonekana kitendo kinafanyika na kunafichwa baadhi ya sehemu muhimu. Kwa mfano inapofikia labda tupo sebleni na mke wangu na watoto tunaangalia tv halafu nikahisi nataka unyumba naanza kutoa ishara kwa wife na ishara zote zinaonyeshwa kwenye tv. Ile labda nambeba kumpeleka chumbani inaonyeshwa, ile naanza kumkiss lile deep kiss inaonyeshwa, ile naanza kumshikashika kwenye maungo na kuingiza mikono yangu kwenye maungo yake inaonyeshwa, ile kalegea na yeye anaanza kuonyesha ufundi wake wa kunigusa sehemu mbalimbali za mwili wangu inaonyeshwa, ile labda namuweka kitandani na kuendelea kumlambalamba sehemu za wazi kama vile shingoni, masikioni, miguuni n.k inaonyeshwa. Tukianza tendo lenyewe labda ndio pasionyeshwe au panaweza kuonyeshwa lakini bila kuonyesha sehemu za siri yaani panaweza kuonyeshwa kuanzia mgongoni kwenda juu ili watazamaji waone facial expression kwa sekunde chache then wanakata. Yaani waone jinsi sura ya mwanamke inavyobadirika akiwa anafanya tendo la ndoa.

Labda wife anaweza akawa anapika halafu mie nahisi kuiihitaji hiyo kitu basi namfuata huko huko jikoni nakuanza kumchombeza, vyote hivi vinaonyeshwa.

Hii series inaweza kuwa na mambo mengi ndani yake. Inaweza kuhusisha mambo ya biashara, kule kwenye biashara wakati wa mchana kunaonyeshwa ninavyopambana, kunakuwa na mambo ya kazi yaani mmoja wa wanandoa anaweza akawa mfanyakazi, huko kazini kwakwe kukawa kunaonyeshwa. Pia inaweza kuhusisha michepuko, maana mwanaume hawezi kukosa michepuko, kwa hiyo kama kuna drama za michepuko zinazoyumbisha ndoa ya main character kunakuwa na scene zake pia. Labda leo nimechelewa kurudi kazini nilikuwa kwa mchepuko kunaonyeshwa, mchepuko kapiga simu usiku wife kapokea simu kunazuka ugomvi wa kufa mtu kunaonyeshwa, kifupi uhalisia wa maisha ya kuwa na mchepuko kunaonyeshwa. Kama mchepuko ni mzuri kumzidi wife na hiyo labda ndio sababu ya mume kuchepuka nako kutaonyeshwa ili kuwafanya watazamaji waendelee kufuatilia kuona mwisho wa hii familia ni nini. Kama labda wife ni mzuri kumzidi mchepuko nako itaonekana, na watazamaji watabaki na waswali kichwani kwa nini mume anachepuka ilihali mkewe ni mrembo kumzidi mchepuko. Kifupi inakuwa ni series yenye vimbwaga vyenye uhalisia na sio maigizo kama ya bongo movie.

Hii series inaweza ku-involve familia kama tatu zaidi yangu. Kwa hiyo nitatafuta watu watatu wanaohitaji wawe sehemu ya hii series ili kuwe na vionjo tofauti tofauti, si unajua kila familia ina raha na changamoto zake za kimapenzi na za kimaisha. Kwa hiyo watazamaji watakuwa wanapelekwa kwenye familia za watu tofautitofauti. Huko pia watakuwa wanakutana na real life la mapenzi ya family Y, X and Z. Huko nako full mikasi na drama nyingine za mahusiano.

Series kama hii ikianzishwa nina uhakika itapata watazamaji wengi sana na wahusika watapiga hela sana.
Ingekuwa ulianza kipindi kile uko na Khumbu ingenoga balaa!!
 
Nimekupa mkuu. Maoni yako yanamake sense sana. Swala hii series haitakiwi kuwa kama maigizo, kama ni maigizo labda kwa asilimia ndogo sana. Wapenzi au wanandoa wa ukweli kweli ndio wanahitajika. Akiwa gogo ndio uhalisia wake, akiwa hana miguno ndio uhalisia wenyewe.
nitajie movie/series uliyowahi kuangalia wanafanya mapenzi mwanamke ni gogo,

tunataka series/movie zenye kusisimua sio unaangalia kitu cha mapenzi unakua kama unaangalia taarifa habari.
 
nitajie movie/series uliyowahi kuangalia wanafanya mapenzi mwanamke ni gogo,

tunataka series/movie zenye kusisimua sio unaangalia kitu cha mapenzi unakua kama unaangalia taarifa habari.
Sasa mkuu ikianza kuonyesha hadi kwenye kukata viono inaweza kuonekana imeenda mbali sana. Kwenye sehemu ya tendo la ndoa inatakiwa isiwe explicit sana, itakuwa inaonyesha zile fore play tu lakini kitendo kikianza wahusika wanaonyeshwa kuanzia mgongoni kwenda juu. Mauno yanaweza kuonyeshwa kipindi mnarukiana mkiwa bado mna nguo.
 
Back
Top Bottom