Kutana na harusi ya aina yake

Nawapongeza wanawake kwa kutojali maumbile ya mtu inapokuja suala la mapenzi! Vinginevyo walemavu wasingeoa kabisa!

Mlemavu kiwete kabisa lakini utakuta kaoa binti beautiful ile mbaya!!

Acheni hizo binadamu huijui kesho yako!!!
Kabisa
 
Sura ya huyu kaka ina ubaya gani? Hebu weka picha yako tuone ulivyo mzuri. Jina lako halifanani na andiko lako. Wise person hawezi kumsemea maneno haya binadamu mwenzake, kwani inafikiri yeye alijiumba?
Mpuuzi sana huyo jamaa,Eti sura libaya,ya kwake ingekuwa nzuri si angeiweka kama profile?...Nina uhakika kabisa huyu mpuuzi angepewa nafasi ya kujiumba asingejiumba na Sura hiyo aluonayo...Anajiita 'wise'afu anaongea upuuzi,Ndezi uyu.
 
They the most dangerous creatures in the world,ndiyo nini kwanza tafsiri yake?
Nikikutana na maelezo ya kibaguzibaguzi kama haya ya kwako huwa sipiti kimyakimya, lazima niache neno.
Wajihi na haiba ya mtu haichambuliwi kirahisirahisi namna hiyo kwa macho yadanganyayo.
Kwa matamko yako hayo, umeidhalilisha "tasnia" ya mapenzi na ndoa.
Hivi kwa mtizamo wako hapo ilitakiwaje unavyopenda wewe kwa mfano?
Kinacho waunganisha watu kimahusiano huwa ni nini ni maumbile ya mwili?
Niishie kukuuliza vimaswalimaswali, ili kukuweka katika njia ya kuweza kutafakari kwa umakini maneno yako kabla haujayatoa kwenye kadamnasi.
Upendo wa mtu, ndiyo pekee humuongoza kwenye chaguo lake. Ni msukumo utokao katikati kabisa ya roho yake.
Hauwezi wewe from no where kuanza kujadili penzi la watu kwa kuoanisha sura ama maumbile! Halafu si kila ndoa ama mahusiano ya watu yakawa na mtizamo wa aina1!
Wengine yawezekana wameoana kwa malengo mahsusi, ambayo mwenzangu na mimi hauwezi kujua.
Inamaana wewe kwa mtizamo wako rahisirahisi ungekuwa ni mzazi wa yule mwanamke, ndoa hiyo ungeivuruga pakubwa. Chanzo cha laana mara nyingi husababishwa na watu wenye akili na msimamo kama wako.
Unene ama wembamba unamahusiano gani katika kuleta dosari ya upendo?
Ulishasikia wapi wembamba kwa wembamba ama wanene kwa wanene ndiyo couple wazuri wanaoweza kudumu katika mahusiano yao?
Yaani maoni yako wewe yanatakiwa kupata ushauri wa kisaikolojia kuweza kukujenga ili kurekebisha msimamo wako wa kibaguzi ambao kamwe hauwezi kujenga katika kushauri, bali kubomoa na kusambaratisha.
Mjinga huyo mkuu,Tena ukiona janaume lina mawazo ya kindezi ndezi kama hayo ujue halijiamini,We mwanaume kila siku umekaa kuwalaume wanawake as if walijiumba wenyewe?...Eti women are dangerous!!,for what?,Mwanaume unalalamika lalamika tuu,eti wanawake ni hatari!!..Hatari ipi hasa kama sio wewe mwanaume umekuwa dhaifu?...Asiwalaumu wanawake kwa udhifu wake...Stupid
 
Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
Śio vizur huwez kumwita binadamu mwenzako hana mbele wala nyuma
 
Mbona mama yako alikubali kuolewa.na baba yako?
Unene na wembamba sio permanent.
Unajua wametoka wapi?
Fantasy za huyo Dada wazijua?
What if Huyo Dada ni kwamba akiona mwanaume mmnene yeye hoi?. Ndoto yake ilikuwa kuolewa na mwanaume mneneee... Na mwanaume ndoto yake ni kupata mke mwembamba?
Acha mawazo ya kimaskini ndugu. What if mwanamke ndio mwenye faranga za kutosha?.
Mkeo/GF anatoka na wanaume wanene.
Duh labda baba yake ni handsome huwezi kujua
 
Unaye lalamika ulitaka oooh mwanaume mbaya, kafata pesa ulitaka uolewe wewe ndo uwe haujafata pesa ukiona mpaka kakubali kuolewa ujue kamuona huyo kati ya mania elfu
 
Nimegundua kumbe baadhi ya wanaume wenzangu humu wana wivu wakijinga.ni ajabu kukwambia mwanaume mwenzako anasura mbaya hya mwenzako ndo ivo kesha opoa mtoto mzuri we unabaki kupiga kelele huku
 
Tz kwa mipasho tu mmmmh hatujambo!! Comments zinafanana na vipindi vya Gea Habibu!
 
Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa

Shost,Endelea kufikiria hivyohivyo tu utasugua benchi mpaka ukome,hao wenye sixpack unaowasubiri wataishia kukugonga tu unarudi kulala kwenye na janaba lako .
 
Back
Top Bottom