Kutahiriwa hakupunguzi kusambaa UKIMWI

omujubi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
4,325
2,498
Habari zenu wana jf.

Ama kweli 'waswahili' tunazidi kukataliwa uwanja wa kustarehe.

Tofauti na madai ambayo yamekuwa maarufu na hasa kwa majirani zetu Uganda na Kenya kuwa kutahiri wanaume kunaweza kupunguza maambukizi ya ugonjwa hatari wa UKIMWI kwaasilimia 60, kundi linguine la watafiti limepinga utafiti huo lilisema kuwa kwa kuamini hivyo itaongeza maambukizi ya HIV/Aids na inaweza kupunguza maambukizi kwa asilimia 1.3 tu kwa kiwango cha juu.

news001px.jpg
Doctors circumcise a man at Kibuli hospital. According to a new study, circumcision does not reduce the spread of HIV.

Habari zaidi hii hapa:
http://www.monitor.co.ug/News/National/-/688334/1360190/-/axfghjz/-/index.html
 
Huo sio ukweli. Kutahiri kunapunguza maambukizi kwa sababu kadhaa. 1. Kama hujatahiriwa kuwa smegma kati ya govi na ukuta wa ndani, huu una white blood cells ambazo zinaweza kufanya maambukizi yakawa rahisi zaidi. 2. Ngozi ya ndani kwa asiyetahisiwa ni soft mno, hivyo michubuko ni rahisi zaidi hivyo kurahisisha maambukizi. 3. Kama mtu atakuwa na maambukizi ya STD zingine inafanya kuambukiza kukawa rahisi zaidi. Naomba tusifanye utani kwenye hili ambalo linaweza kuzuia maambukizi kwa kiasi kikukbwa
 
mkuu Willy, hawa waliocriticise huo utafiti wa awali hawajafuta kabisa madai ya awali bali wanasema badala ya 60% inaweza kusaidia kwa kiwango kidogo cha 1.3%.

Hapa naona walio wengi walishajua ni starehe kwa kwenda mbele bali kwa utafiti huu, kuna haja ya kutafakari

Huo sio ukweli. Kutahiri kunapunguza maambukizi kwa sababu kadhaa. 1. Kama hujatahiriwa kuwa smegma kati ya govi na ukuta wa ndani, huu una white blood cells ambazo zinaweza kufanya maambukizi yakawa rahisi zaidi. 2. Ngozi ya ndani kwa asiyetahisiwa ni soft mno, hivyo michubuko ni rahisi zaidi hivyo kurahisisha maambukizi. 3. Kama mtu atakuwa na maambukizi ya STD zingine inafanya kuambukiza kukawa rahisi zaidi. Naomba tusifanye utani kwenye hili ambalo linaweza kuzuia maambukizi kwa kiasi kikukbwa
Hizi ni blah blah tu. Njia muafaka ya kuepuka HIV na ukimiw ni kubadili tabia na kuwa responsible kwenye masuala ya ngono, basi
 
Hizi ni blah blah tu. Njia muafaka ya kuepuka HIV na ukimiw ni kubadili tabia na kuwa responsible kwenye masuala ya ngono, basi

Responsible ni vipi? ku dive imo? mie bila ku dive sijaona raha kabisa, na jicho ndio usiseme.
 
pia wakuu hapa kuna njia nyingine ambayo wengi labda hatujaitilia maanani lakini iliwahi kutumiwa na Bw. Jacob Zumma huko Afrika ya Kusini.
Anasema 'ukimaliza' unawahi kwenye maji na kuosha, hii mnaionaje wakuu!?
 
Arua men overwhelm circumcision facility
2012_3$largeimg221_Mar_2012_003728723.jpg

All those who came smiling went back smiling, the manager at the centre said.

Arua AIDS Information Centre has run short of logistical supplies following a huge turnout of men for Safe Male Circumcision (SMC).
Henry Lulu, the centre's manager on Tuesday said that over 200 clients who had turned up for the service by Monday had to be put on the waiting list.

"Demand is so high that it has outstripped supply. The centre has apparently run out of logistical supplies like anaesthics and essential drugs for the exercise," Lulu said.
"As of now we are waiting for more supplies to meet the high demand."
The medical official noted that the circumcision exercise at the centre started late last month, and over 55 HIV-negative clients were circumcised within two weeks.
For the past one week, the centre has been receiving more clients who had to be referred to the registry to be recorded on the waiting list.
Lulu said: "What is impressive and unique about the turn up in Arua is that female spouses have been known to be actively involved in the exercise."
At one moment, a lady accompanied her husband and we worked on her husband on whom the operation went on till midnight.
He described the exercise as a success since none of the clients has developed any complications.
"All those who came smiling went back smiling. Being a free service, many clients have had a hand in the big turn up by going a step further to mobilizing and convincing their peers," Lulu observed.
The SMC, according to Lulu, is not a mere process of male circumcision, but is an integral part of a comprehensive HIV/AIDS prevention strategy.
Basing on studies carried out in Kenya, South Africa and Uganda, among others, circumcision reduces HIV/AIDS by 60%. The information is contained in a 2010 health policy document commissioned by the health ministry in conjunction with WHO and UNAIDS.
 
mkuu naona unaleta hoja nzito, hili suala hata mimi sikuwahi kulifikiria kihivi! Lakini kunaonekana dalili za ukweli kutoka kwenye hizo posts ila HIV yaweza kuwa story ndefu kupita ufafanuzi wa wataalamu wetu hawa
 
hili sawala la kutotahiriwa naona ni kama myth fulani ambayo watu wanaongelea bila kuwa na uelewa wowote.mimi sijatahiri lakini mazingira wanayoongea watu hapa siyo mii nilivyo.
 
Back
Top Bottom