Kusaga kumbe alisimu!!!

Status
Not open for further replies.

AbasMzeEgyptian

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
407
312
11.jpg

Jesph, Mkewe Juhaina na mtoto wao pamoja na Chaka Khan.

Apparently Joseph kusaga alipewa sharti la kumwoa yule binti wa Kingazija (Juhaina) wakati alipokuwa anafanya kazi pale Greenland Bank. Sharti lenyewe asilim ili apate ruksa ya kuoa. Waislam wanawake hawaruhusiwi kuolewa na wanaume wasio waislam unless huyo mwoaji awe amesilim, na zaidi ya hayo huyu mkewe anayoka kwenye family iliyona msimamo sana wa dini na jina la Jeseph likawa Yusuph Kusaga baada ya kusilim

Mashaallah Ustaadh Kusaga tupo pamoja!
 
Tatizo kubwa la kubadili dini ukiwa mtu mzima ni kwamba unajikuta unakuwa huna dini-maana dini uliohamia itakuwa inakushinda (procedures n.k)kulingana na mazoea ambayo mtu umekuwa nayo-then kwenye dini yako ya awali pia hutaweza kwenda maana huko ulishaaga-so utajikuta si wa ijumaa,jumamosi wala jumapili-so at last-you are the looser
 
Sijui kwanini waafrika tumeendekeza sana haya maswala ya dini, ukristu uliletwa na wazungu ili iwe rahisi kwao kututawala kimiili na kiakili. Waarabu nao walikuja na yao ili watutawale na hata kutufanya watumwa.
Kabla ya waarbu na wazingu kuja, kulikua hakuna cha joseph wala yusuph, sie ni kutambika na majina yetu ya kiasili na yaya kibantu.
Kusilimu na kuwa mkristu hakuna faida ya aina yoyote duniani, zaidi ya kuwafurahisha wazungu wa kikristu na waarabu.
hebu tuache kuabudu madini ya watu na kujali zaidi kero na shida tulizonazo hapa nchini kwetu na kwenye mafamilia yetu.
 
Sijui kwanini waafrika tumeendekeza sana haya maswala ya dini, ukristu uliletwa na wazungu ili iwe rahisi kwao kututawala kimiili na kiakili. Waarabu nao walikuja na yao ili watutawale na hata kutufanya watumwa.Kabla ya waarbu na wazingu kuja, kulikua hakuna cha joseph wala yusuph, sie ni kutambika na majina yetu ya kiasili na yaya kibantu.Kusilimu na kuwa mkristu hakuna faida ya aina yoyote duniani, zaidi ya kuwafurahisha wazungu wa kikristu na waarabu.hebu tuache kuabudu madini ya watu na kujali zaidi kero na shida tulizonazo hapa nchini kwetu na kwenye mafamilia yetu.
Umenikuna mkuu! Kitufe cha senkyu hakipo hapa. Senkyu bai ze wei...!
 
Don't worry Edward,
Huwa tuna sllim ili upate mzigo,baadae unarudi kwenye dini yako, maana huwa hamna sehemu inayosema usirudi ulikotoka, baada ya shughuli kuisha unaweza ukarudi ulikotoka hata kama ni 48hrs.
Siku hizi hiyo sio shida wala huitaji kujifunza hata kushika hivyo vitabu ambavyo huvijui-Big up Joe.Tutaendelea kuwaoa tu na dini tutabadili kidogo for some hrs kabla ya ndoa halafu tunarudi hm.:fish:

Tatizo kubwa la kubadili dini ukiwa mtu mzima ni kwamba unajikuta unakuwa huna dini-maana dini uliohamia itakuwa inakushinda (procedures n.k)kulingana na mazoea ambayo mtu umekuwa nayo-then kwenye dini yako ya awali pia hutaweza kwenda maana huko ulishaaga-so utajikuta si wa ijumaa,jumamosi wala jumapili-so at last-you are the looser
 
Tatizo kubwa la kubadili dini ukiwa mtu mzima ni kwamba unajikuta unakuwa huna dini-maana dini uliohamia itakuwa inakushinda (procedures n.k)kulingana na mazoea ambayo mtu umekuwa nayo-then kwenye dini yako ya awali pia hutaweza kwenda maana huko ulishaaga-so utajikuta si wa ijumaa,jumamosi wala jumapili-so at last-you are the looser
I just wanted 2like ur comment ila natumia cmu, ngoja ni LIKE hapa.
 
Kubadili dini katika masuala ya mahusiano huwa ni formality tu, ili kuondoa vizuizi vidogo vidogo kutoka kwa wazazi au relatives wengine wasio na uelewa, maana hilo tendo la ndoa walilianza hata kabla ya ndoa, unweza ona watu wanapigiwa kashwida kwenye jamvi, baada ya kumaliza kufunga ndoa tu wanakimbilia kwenye kitimoto maana wamekimiss somedays wakiwa tite kwenye maandalizi ya ndoa. wapi kuslim sasa hapo?
Kwenye relationship hakuna kitu dini, Dini inakuja baada ya Mapenzi!
 
Ukiwa mgeni pale mjengoni mwao Mikocheni umesimama kwenye counter unasubiri huduma, ikatokea jamaa anaingia mlangoni, basi atakuja mlinzi atakushurutisha kwa ukali ukae chini Bwana Mkubwa anaingia!! Wote mnaosubiri kwenye sehemu ya Wageni lazima mkae chini hadi apite ndiyo mnaruhusiwa kusimama. Daah! Jamaa ananata na kujifanya kama Mfalme au Mtu Muhimu Sana. Kudadeki!
 
Makubwa!
 
Nami nimepata shombe shombe la kiislam nitaslimu tu maana hamna namna! Ila nikishachukua mzigo wangu nauanzia mahubiri kwangu
 
11.jpg

Jesph, Mkewe Juhaina na mtoto wao pamoja na Chaka Khan.

Apparently Joseph kusaga alipewa sharti la kumwoa yule binti wa Kingazija (Juhaina) wakati alipokuwa anafanya kazi pale Greenland Bank. Sharti lenyewe asilim ili apate ruksa ya kuoa. Waislam wanawake hawaruhusiwi kuolewa na wanaume wasio waislam unless huyo mwoaji awe amesilim, na zaidi ya hayo huyu mkewe anayoka kwenye family iliyona msimamo sana wa dini na jina la Jeseph likawa Yusuph Kusaga baada ya kusilim

Mashaallah Ustaadh Kusaga tupo pamoja!

Huyo mngazija ndio anatoka familia yenye dini sana??...hivi hata ukimuangalia na alivyovaa hapo unaona dini hapo??..unajua majina ya watoto wao??..fanya yako tu bro..hapo hakuna dini ndugu ni mashaka matupu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom