Kurudia uandikishaji vitambulisho vya uraia DSM ni matokeo ya kupeana kazi KISHIKAJI

Mjomba wa taifa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
231
161
Taarifa zilizo rasmi kutoka kwa baadhi vya viongozi waandamizi wa NIDA ni kuwa zoezi lililofanyika la uandikishaji vitambulisho vya uraia jijini DSM litarudiwa upya kutokana na kuvurunda kwa waandikishaji. Taarifa hizo zinasema katika vituo vingi vya uandikishaji wahusika waliopewa jukumu hilo hawakuwa na uwezo licha ya kupewa mafunzo elekezi kabla ya Zoezi hilo.

Imebainika kuwa waandikishaji wengi walipewa nafasi hizo kishikaji (as usual) pasipo kuwa na sifa za kutosha, walikuwa na elimu ya darasa la saba na kidato cha nne.

Gharama zilizotumika katika zoezi lililoharibika zinafidiwa vipi? Muda uliotumiwa kutokwenda kazini na kupanga foleni utafidiwa vipi? Ni nani aliyehusika kutoa nafasi za kazi kwa watu wasio na sifa hata kufikia kuvurunda kwa zoezi zima?

Madhara haya yataendelea kuumiza watanzania WENYE HATIA ya kuchagua viongozi vipofu na hatimae kuletewa viongozi/watendaji KISHIKAJI katika ngazi zote.
 
hili zoezi ni sensitive unachukuaje darasa la saba na form four wakati pana graduates wengi tu wanarandaranda mitaani, this country has headless people.
 
Ngoja maigizo ya sensa! Wilaya ya kinondoni hajachukuliwa mwalimu hata mmoja, wachache wako reserve list! Shamba la bibi!
 
Kumbuka hilo lilikuwa zoezi la kupata uzoefu na kurekebisha makosa. Ni vyema makosa yamegundulika mapema, wanastahili sifa kwa hilo, fikiri ingekuwa ndio Tanzania nzima!
 
hili zoezi ni sensitive unachukuaje darasa la saba na form four wakati pana graduates wengi tu wanarandaranda mitaani, this country has headless people.

Issue sio level gani ya elimu bali ni uwezo wa mtu; maanake ata hao graduates wanatia mashaka!!
 
Kumbuka hilo lilikuwa zoezi la kupata uzoefu na kurekebisha makosa. Ni vyema makosa yamegundulika mapema, wanastahili sifa kwa hilo, fikiri ingekuwa ndio Tanzania nzima!

kwahiyo zomba kama ni lakupata uzoefu haakupaswa kuangalia correctness, validity na precise of the task? if not why spending all that money?
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo zomba kama ni lakupata uzoefu haakupaswa kuangalia correctness, validity na precise of the task? if not why spending all that money?

That was a test run, we have never done such a thing in Tanzania. Dar Es Salaam was chosen to be a test ground for the exercise. It was in preparation of the major event and mistakes have been found, it was a good move and needs to be praised.
 
Mkuu acha kudanganya GT wa jukwaa kubwa kama hili!
Zoezi linalofuata mwanzoni mwa sept ni la kuhakiki taarifa na vielelezo vyake litalohusisha kada mbalimbali NIDA, UHAMIAJI etc. Watakaotiliwa shaka na ambao hawana vielelezo vya kutosha watatakiwa kuthibitisha taarifa zao kwa vielelezo zaidi ama kujazishwa tena fomu ikibidi kufanya hivo!
Fomu zilizokamilika zitaendelea na hatua zinazofuata ambapo wahusika watapigwa picha na kupewa vitambulisho.
Si kweli walioajiriwa hawakuwa na sifa, mleta mada labda ana lake binafsi. "KAMLETE" hawakosekani coz ni vigumu kulizuia hilo 100% ktk nchi corrupt kama hii.
 
if the motivation behind was the job to be done at perfection then it was also wise to think of better ways to do it. they would have planned for qualified and competent man power kuliko ku rely kwa form four failuires ambao hata kuandika majina magumu ni tabu. alipita kijana kwangu kuandika ubini wangu ilikuwa matatizo ikabidi nimsaidie. to me bado hawakujipanga vyema.
 
Basically mimi nilipita kwenye Kituo changu kujiandikisha na hapo hapo niligundua is a total failure baada ya mwenyekiti wangu wa serekali ya mtaa kuniomba sh 500 ya Maji!!! Huku waandikishaji wakijipambanua Hawana uzoefu wowote wa kazi """Sensitive katika hii nchi!! ie Vetting!!""
 
Kumbuka hilo lilikuwa zoezi la kupata uzoefu na kurekebisha makosa. Ni vyema makosa yamegundulika mapema, wanastahili sifa kwa hilo, fikiri ingekuwa ndio Tanzania nzima!

That was a test run, we have never done such a thing in Tanzania. Dar Es Salaam was chosen to be a test ground for the exercise. It was in preparation of the major event and mistakes have been found, it was a good move and needs to be praised.

Mkuu acha kudanganya GT wa jukwaa kubwa kama hili!
Zoezi linalofuata mwanzoni mwa sept ni la kuhakiki taarifa na vielelezo vyake litalohusisha kada mbalimbali NIDA, UHAMIAJI etc. Watakaotiliwa shaka na ambao hawana vielelezo vya kutosha watatakiwa kuthibitisha taarifa zao kwa vielelezo zaidi ama kujazishwa tena fomu ikibidi kufanya hivo!
Fomu zilizokamilika zitaendelea na hatua zinazofuata ambapo wahusika watapigwa picha na kupewa vitambulisho.
Si kweli walioajiriwa hawakuwa na sifa, mleta mada labda ana lake binafsi. "KAMLETE" hawakosekani coz ni vigumu kulizuia hilo 100% ktk nchi corrupt kama hii.

I see!
 
if the motivation behind was the job to be done at perfection then it was also wise to think of better ways to do it. they would have planned for qualified and competent man power kuliko ku rely kwa form four failuires ambao hata kuandika majina magumu ni tabu. alipita kijana kwangu kuandika ubini wangu ilikuwa matatizo ikabidi nimsaidie. to me bado hawakujipanga vyema.

They did have a plan and Dar Es Salaam was planned to be a test ground. By finding out mistakes in this early stage was a big achievement, as it seems, some were not honest enough to have employed incompetent candidates against the plan.

Hope corrective measures will be put in place and all corrupt officials will be dealt with. I really think they did a good work if this report is true, to find out the abnormalities very early in the process.
 
Kumbuka hilo lilikuwa zoezi la kupata uzoefu na kurekebisha makosa. Ni vyema makosa yamegundulika mapema, wanastahili sifa kwa hilo, fikiri ingekuwa ndio Tanzania nzima!

Kulikuwa na ugumu gani pale mpaka wafanyie mazoezi? wangewapa kazi hiyo vijana waliomaliza chuo au wakawapa tu hata wale ambao wapo likizo kungekuwa na haja gani ya kurudia zoezi rahisi kama hili? Kama wewe unaona kujaza hiyo form ni zoezi gumu basi na wewe ni walewale!
 
Ndio mkatumia DARASA la SABA ?

Kwani lile zoezi lilikuwa ni la kurusha rocket angani? hata wa darasa la nne anaweza kuzijaza. Labda ungesema wote wakapimwe akili walioajiriwa, lakini sioni kigezo kuwa ni darasa.

Chadema wenyewe walifanya bonge la mistake tena kwenye kikao cha bunge wakaja na bajeti yao yenye mapato sifuri, au walioindika walikuwa darasa la saba?

Zoezi kubwa kama hilo lazima litakuwa na makosa ya hapa na pale ya kiufundi lakini mpango mzima ni mzuri na utafanikiwa.
 
Why do you guys love to spend more time on trivial matters while there are a lot of other issues to be pondered???
i am at loss guys my belief is that this jamvi with its wide audience should be used to active change in all aspects be it political ,social etc .
 
Back
Top Bottom