Elections 2010 Kura yapigwa na mwanafamilia mmoja - Lindi, mwakilishi EU

Ilulu

Senior Member
Mar 22, 2008
161
31
Ni hivi punde tu Mwakilishi wa EU akiwa antoa tathmini yake ya awali emesema uko Lindi kuna irregularities kiasi eti mmoja wa wanafamilia anawapigia wengine katika familia yake.

Unless sikumwelewa vizuri (lugha).. Hii haiko njema na sielewi imewezekana vipi NEC au wasimamizi WAKAIRUHUSU.
 
kwa hiyo baba akitaka cuf/chadema/sisiemu basi ukoo mzima ni huko, na msimamizi wa kitua hicho anasemaje? ana ruhusu hayo? naomba sirikali iliyopo madarakani itueleze kuhusu hilo suala au ndio kampeni zao.
 
Haya sasa halafu hawa wasimamizi wakaseme uchaguzi ulikuwa huru na haki D$$%#n

Watasema haukuwa huru na haki! Wanaogopa yasitokee ya Ethiopia mwaka 2005 pale waliposema uchaguzi haukuwa huru na haki halafu wapinzani wakamiminika mitaaani kuandamana na polisi wa serikali ya Zenawi wakawafyatulia risasi na kuuwa watu 190!

Wanaogopa hilo kutokea!!! These f***** African countries!!!
 
Hii kali. Wakati hivi ,majuzi tu amekamatwa mtu aliyekuwa amekusanya vitambulisho vya watu watatu. Nadhani hapo lugha haikueleweka.
 
Back
Top Bottom