Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CCM?

  • Bernard Membe

    Votes: 70 15.3%
  • Edward Lowassa

    Votes: 189 41.4%
  • None of them (Labda mwingine)

    Votes: 198 43.3%

  • Total voters
    457
  • Poll closed .
kwa vile kila mmoja anauhuru wakutoa maoni.kwa maoni yangu wote hawafai.mweka thread ilikuwa amweke lowasa,lipumba,slaa.membe na wote hawafai.hapo ingalikuwa ni option iliyo na changa moto.
 
Bw. Andrew Nyerere tuna uhuru wa kutoa maoni kwa njia yeyote, iwe kwa kupiga kura au kuongea, au kuandika nk, wewe kama huwezi tuwachie uwanja na kaa pembeni, swala la kupiga marufuku upigaji wa kura wa maoni ya wanajamii forum hilo ni wazo lako mwenyewe. Lowassa is the only one who will lead as the prisident of this country 2015. Achana na siasa uchwara.


Kura ya wanajamii forums kumchagua rais wa Tanzania? That is laughable. Inaonyesha kwamba hujui kura ya maoni maana yake nini? Kura ya maoni lengo lake ni kuchukua undi dogo la watu ambalo inadhaniwa linaweza kuwakilisha electorate yote,na kwamba maoni yale yakitolewa yanaweza kuwa generalized.
Kuhusu huyu Lowassa,
huyu mtu ambaye amepata utajiri wake by dubious means,it is not wise to peddle him as a fture president of this country. Mtu napata hela by dubious means,halafu watu wote,washindani wenzake wote wanaonekana kwamba ni wavivu,kumbe wanashindana na cheat. Hii ni cheating kama inavyofanywa na athletes ambao wanatumia perfomance engancing drugs.
Kusema kwamba we must be realistic,kwamba politicians sometimes get their money by illicit means,kwa hiyo kwa nini tulalamike ikiwa Tanzanian politicians do the same.
Lakini do you know JUST HOW ILLICIT some of those corrupt politicians are? Kwa nini turuhusu mambo hayo Tanzania? We could tell you many things about how George Bush,Bill Clinton,Jimmy Carter,how these people got to power,but we must not do it for fear that all our nails will be removed. Why do you think Obama got re-elected?
 
Siwezi chagua shetani yupi bora,nyoka ni nyoka hakuna mwenye nafuu wala
sumu kidogo."WOTE HAWAFAI"
 
Devils, who cares. Sichagui mashetani mimi. Unamuliza mlokole Safari lager na Tusker ipi nafuu.
Who's an angel?ni wakati wa watanzania kuchagua rais mwenye uthubutu wa kutumia rasilimali tulizonazo kwa manufaa ya wananchi.Mapungufu yanaweza kutokea kwa njia ya kuwajibika kutenda(commit) ama kupuuza na kutokutimiza wajibu(omission).Wengi wetu tunamuhukumu mtu kutokana na makosa aliyofanya hata kama amefanya mazuri mengi na tukiwasifu wale walioshindwa hata kuthubutu!ameuwawa Gadafi ndo mnaanza kusema oh alisaidia watu wake lakini miaka kadha nyuma aliandikwa kama fisadi mporaji kanunua hekalu kwa Mugabe!EL alithubutu kusimamia maamuzi ya kupeleka maji Shinyanga Kahama ingawa kulikuwa na mikataba ilifanya jambo hilo kuwa gumu!ni' Ubishi'tu wa EL uliofanya jambo hili liwezekane akiwa waziri wa maji na 'jembe'Mkapa wkati huo.Unapowaita devils nachelea kuamini kuwa wewe ni GT basi malaika ni nani?ninyi ndo mlitwambia Jk ni malaika leo mna machungu sana hadi matoa povu kwa kila issue hadi mtoe matusi ndo mridhike!
 
Ebu toeni hiyo none of them, kama vipi wekeni jina jingine hapo, inakuwaje GT wanapigishana kura za kivuli?
ina maana wanaCCM wanamendea uraisi atuwajui?
 
Kasolo iliyopo hapa ni kusahaulika kwa wagombea wenza.napendekeza mgombea mwenza wa E lowasa awe Rostam azizi.Membe na Bashe.hawa naona wanaendana.
 
TEAM EL: Reasons

1. EL ni Mchapakazi: Utendaji wake unaotofautiana na wengine ulionekana vizuri alipokuwa wizara ya maji, alipokuwa wairi mkuu mambo mengi yalishughulikiwa kwenye muda mfupi, ikumbukwe alipoteuliwa kuwa PM alifanya vizuri sana kushughulikia tatizo la njaa lilokuwepo that time

2. EL ni mvumilivu:Amevumilia wakati J K Nyerere alipowakatalia yeye na J Kikwete kugombea urais, alimwachia JKikwete nafasi iliyokuwa wazi kwake kugombea urais kwa uvumilivu kwamba angekuwa next, amevumilia pale watu walipomwita fisadi wa kashfa ya Richmond kwa kumbeba Rais ambaye kiukweli ndie muhusika na amewahi kumwabia JK hadharani

3. EL ni makini: Alivunja mkataba wa ilokuwa city water na serikali iashinda kesi hiyo katika mahakama ya kimataifa ya usuluhishi, Alimshauri pia rais JK kuvunja mkataba na Richmond JK akakataa

4. Hakati tamaa hata pale tuhuma anazopelekewa zinapokuwa nyingi sana. Mara nyingi husema nina mipango ila 'Nitavuka daraja nikilifikia'

5. Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa fadhila. Mara nyingi huwa hajibu/hashindani na wale wanaotaka ashindane nao.

6. Hasahau kiapo. 'Mimi na Kikwete hatujakutana barabarani'. Hivyo hata kiapo cha kuilinda na kutetea katiba anakiweza

7. Ni Jasiri: Hushughulikia mambo kutokana na udharura wake; hasubiri

8.Just few to mention


9.Edward Lowasa ni Mwizi

10.Edward Lowasa ni Mlarushwa

11.Edward Lowasa ni mtu mwenye uchu wa mali na madaraka kuliko Mamba mwenye njaa
12.Edward Lowasa atasababisha mauti ya CCM eeMUNGU mpe maisha marefu na wafuasi wengi vipofu
 
Mh.EDWARD LOWASSA ANAFITI VIZURI VIATU VYA URAISI
SABABU,
  1. ANA UTHUBUTU WA KUMWAJIBISHA YEYOTE.
  2. MVUMILIVU.
  3. MUWEZESHAJI KWA WENGINE.
  4. MCHAPA KAZI.
  5. HANA BLAAx2.
  6. NI MFUATILAJI WA KILE ANACHOAMINI/MTEKELEZAJI.
  7. SI WA KUYUMBISWAx2 KIMTIZAMO AMA KIFIKRA.
  8. ANASHAURIKA.
  9. MWEPESI WA-RESPONSE PINDI ANAHITAJIKA KATIKA JAMII.
  10. MPENDA MAENDELEO YA UJUMLA.
  11. NI KIONGOZI ASIYEJISIKIA,ASIYEJIGAMBA WALA KUJIKWEZA KWA WAKUBWA/WENZAKE.
ZIPO SIFA NYINGI SANA INGAWA WALIO WENGI WANAMUONA ETI NI FISADI WA NCHI ILIHALI MAFISADI WAPO WENGI SANA UKIANZIA KATIKA NGAZI YA FAMILIA ZETU KWENDA JUU.KIUKWELI EL SI FISADI KAMA WANAVYOFIKRIA,NA HATA WALE WANAOMCHOKONOA WANAFIKIRI ETI ATAKURUPUKA KUROPOKA ILI WAPATE MWANYA WA KUBLACKMAIL ILI WAO WAWE JUU KISIASA.
Tatizo lake ni afya mgogoro.
 
Edward L. Ngoyayi ni chaguo sahihi kwa ccm kama hakuna mizengwe,
1. Ni jasiri
2. Anathubutu kuamua jambo kwa manufaa ya wengi.
3. Aliwakoromea waarabu kuhusu Maji ya mto Nile
4. Aliuvunja mkataba hovyo WA kampuni ya Maji Dar ( nimesahau jina la kampuni)
5. Utajiri alionao jumlisha umri wake nadhani vitaifukuzia mbali tamaa ya kujilimbikizia Mali (uswis na Dubai)!!!
6. Umri unamwepusha na tamaa za ujanani kama wengine tunaweza kuwaona wanavohangaika kila Leo!

Nawakilisha.



Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
wadau nawakilisha hili suala ili kupata kura za maoni za viongozi hawa ndani ya chama cha ccm.

Toa hoja na mawazo yako na upige kura pia kuona nani anafaa kati ya wawili. Zingatieni kuwa hatushindanishi na viongozi wengine ambao kila mmoja amekumbatia moyoni kuwa anafaa. Haijalishi wewe ni chadema au ccm inachojalisha ni unaona yupi bora kati ya hawa wawili. Kuwa hata kama wote ni devils who is the lesser devil kati ya wawili?

Ni yupi unaona atafaa ama niseme nani angalau anatia matumaini kuwa walau anafaa kuteuliwa kuweza kuongea nafasi ya urais kwa tiketi ya ccm kwa mwaka 2015?

Ni vema ukimataja utowe walau sababu zako ambazo unaona ni msingi wa maamuzi yako. Wadau hasira na pumba naomba ziachwe nje ya hii thread na tuweze kupata jibu thabiti.

Nawasilisha.


pro chadema, cuf wanaruhusiwa kupiga kura???????????????????????????/
 
EL kiboko asee.. mi naona anafaa saana lakin Magufuli yuko poa zaidi. Wekeni magufuli pale
 
Back
Top Bottom