BPM
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,760
- 573
naombeni msaada,
hivi bunge la sasa hivi likipiga kura ya kutokuwa na imani na serikali ya tanzania kutokana na mambo mengi yanayojitokeza kama vile tatizo la umeme, jairo, ngorongoro na mengineyo ..
na wakafanikiwa kuiondoa serikali madarakani je baada ya kipindi cha mpito

- uchaguzi utakuwa kwa ajili ya raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania??? au
- pia itahusishwa kuvunjwa kwa serikali ya mapinduzi zanzibar na kufanyika pia uchaguzi wa raisi????