Kupta kazi shida;kupata likizo uhonge jamani??mabosi wanavuna sana kipindi hiki

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Wakati watu mbalimbali nikiwemo mimi wakiomba kupata likizo ili kwenda kupata maji ya loliondo mabosi wa maofisini wamefanya kama dili na sasa unaombwa penzi kama ulivyoogawa wakati ukipata kazi
madada kibao mjiniw wameanza kulalamikia jinsi wanavyoteseka wakiomba likizo na sasa wameona watoe tu ili mradi wakirudi wanakuwa wamepata uponyaji..kwa kweli haya maradhi yatatuua jamani hawa watu sijui ...na nyie wake zetu ma secretary embu muwe makini jamani vile vi tweins tutavitunzaje kama babu wa loliondo anataka kuondoka na nyie..hakika naomba hili mabosi wote mliopewa ama na MUNGU ama aKwa uchawi hivyo vyeo jamani msiwamege tena ma dadazetu/wake zatu..inatosha wapeni nafasi wakaombe uhai tena kama mliwachafua mwanzoni

EMBU MWOGOPEN HATA MOLA JAMANI..WAPENI WATU LIKIZO ZAO KAMA WANASTAHILI
 
Duh hili nalo neno.
 
Back
Top Bottom