Kupombeka na aibu ya mwanamke...!

Nashukuru kwa somo zuri..kwa kweli wataalamu wanasema pombe nyingi ni mbaya sana kwa mwanamke na kwa wale ambao bado hawajazaa au wananyonyesha ndo mbaya zaidi...wanasisitiza tunywe walau glass moja ya red wine kwa siku or less kwa ajili ya digestion na maji mengi,lita mbili au zaidi.....lakini pia haipendezi mwanamke akinywa pombe nyingi.....!!
 
Nyie wanaume na hayo mavitambi yenu kama pakacha za njugu huwa hamjioni sio?? Wengine mpaka suruali zina vutika marinda kwa lazima.....mwachekelea tuu!!!

wape wapeeeeeeeeee vidonge vyao,wakimeza wakitema nishauri yao....lol.......you made my day!
 
Loo nakunywa kwa pesa zangu, wala sina aibu yoyote, una lako jambo wewe.... mbaya wale wanaochukulia pombe kama excuse ya matendo yao, kwa mimi pombe ni starehe ya muda na naendelea na mambo yangu, acha bana bia tamu
 
Subiri ukibakwa ndio utajua MBILIMBI inaitwaje kwa KIINGEREZA.............LOL
 
Kipipi bila shaka una kitambi cha bia haiwezekani povu likutoke namna hii
Nyie wanaume na hayo mavitambi yenu kama pakacha za njugu huwa hamjioni sio?? Wengine mpaka suruali zina vutika marinda kwa lazima.....mwachekelea tuu!!!
 
Nyie wanaume na hayo mavitambi yenu kama pakacha za njugu huwa hamjioni sio?? Wengine mpaka suruali zina vutika marinda kwa lazima.....mwachekelea tuu!!!

Kipipi bila shaka una kitambi cha bia haiwezekani povu likutoke namna hii
quote_icon.png
By Kipipi
Nyie wanaume na hayo mavitambi yenu kama pakacha za njugu huwa hamjioni sio?? Wengine mpaka suruali zina vutika marinda kwa lazima.....mwachekelea tuu!!!

Nimeunganisha DOTS.............!

Kumbukumbu MUJAARABU!
 
Jamani its all so true!

I truly admire you.

Thank You for the insight.
 
Back
Top Bottom