Chakula gani ukipika watu wengine wanaomba kuongeza chakula tena?

Sasa upate chapati na chai ya maziwa iliyoungwa hiliki au chai rangi iliyotiwa karafuu, ni balaa! Kitambo kidogo pale Kariakoo kwa wale Wasomali wa hoteli ya Al Uruba nilikuwa napiga Chapati na Roast ya nyama ng'ombe!!
Chai ya maziwa mimi hapana ila viungo muhimu.
Tangawizi, iliki na mdalasini ni balaa. . .au ya mchai chai. . . naweza nikanywa kutwa
 
Yah, wali maharage nazi, na samaki mkavu kwa pembeni, nina tatizo la nyama kwenye meal yangu, i gotta have it, i gotta have some meat.lol

Vipi aliyeungwa kwa nazi? Au aliyechemsha kiustadi?
 
Sasa kwenye vitumbua ndo ntakununia manake sidhani kama ntaweza, na nnavyovipenda basi! Zile chapooo zake zinaitwa 'vibibi' walau hivyo ni vinyonge vyangu pamoja na mkate wa mchele!
Mi naona tufanye tu huo mpambano aisee, nahisi ntakushinda. Afu unajua supu ya matango na carrots?
Mi vitumbua hua napika sema hua nasumbuka sana na zile chapati zake (sijui wanaziiitaje vile ). . .otherwise filling hua inakua mwake sana. Yani hapo hata nikifunga macho hamna kufeli.

Hahahaha unaringia chapati za kuchambuka ehhh? Embu tushindane siku moja . . . lolz. . .maana siri naijua sana!!
 
Basi ntakufundisha vitumbua we ukinifundisha mkate wa mchele maana sijui hata mnaanzaje. Wa unga wa angano angalau sijapitwa.

Hahahahaha 'vibibi'. . alafu unajipa ushindi ili nitishike ehhhh?I say BRING IT ON!!

Ohhh na hiyo supu kama nyama haihusiki forget it!!!lolz!!
Ni nzuri?
 
napenda sana, tena kwa raha zangu

bora ni-play part ya baba kuliko ya mama, bora nimwage zege kuhakikisha kuna chakula mezani, wana sehemu ya kulala na shool fees zinalipwa

japo najua kupika ila siwezi jisifia sababu haiko damuni kabisa.

Kula je. . . Unapenda na kufurahia?
 
That too, aliyechemshwa with some green vegetables kwa mbali ie green peppers, aliyeungwa kwa nazi na ugali wa sembe mmmnn.Balaah
Hapo sasa tunaongea lugha moja.

So. . . unajua/penda kuvipika au unafurahia kula tu?
 
Hapo kwenye nyama walau najua nikijakudoea kwa lizzy sitakuwa disappointed! Kwenye samaki mkavu or any smoked meat hamnipati, siwapendi kwa kweli. Hata kama ni kufurahia inabidi nazi kibao, na biringanya na vikorombwezo ndo vitanipa tough.
 
Sasa kwenye vitumbua ndo ntakununia manake sidhani kama ntaweza, na nnavyovipenda basi! Zile chapooo zake zinaitwa 'vibibi' walau hivyo ni vinyonge vyangu pamoja na mkate wa mchele!
Mi naona tufanye tu huo mpambano aisee, nahisi ntakushinda. Afu unajua supu ya matango na carrots?
Wewe usiseme mkate wa mchele sema mkate wa kumimina!! Duh na mimi kwa vitumbua tutagombana maana bila vitano situlii.
.
 
napenda sana, tena kwa raha zangu

bora ni-play part ya baba kuliko ya mama, bora nimwage zege kuhakikisha kuna chakula mezani, wana sehemu ya kulala na shool fees zinalipwa

japo najua kupika ila siwezi jisifia sababu haiko damuni kabisa.
Angalau kula unafurahia maana kuna watu wanakula basi tu.

@lizzy & king'asti
ntakuja chukua twisheni
ya vitumbua na chapati tu
Hehehehehe kwa mashindano yetu sijui kama utajifunza kitu. Kila mtu atakua anaringishia mpaka anavyoskuma chapati zake kwamba ndio bora zaidi. . lolz

Ila kwa vitumbua we sema tu unataka vya filling ya aina gani.
 
Hapo kwenye nyama walau najua nikijakudoea kwa lizzy sitakuwa disappointed! Kwenye samaki mkavu or any smoked meat hamnipati, siwapendi kwa kweli. Hata kama ni kufurahia inabidi nazi kibao, na biringanya na vikorombwezo ndo vitanipa tough.

Kwa nyama tu hutokua disappointed. . . yani hamna kuhesabu vinyango. Hhhm samaki wa kuokwa je?
 
Hahaha wifi we mbona ni miss 'brag much'. . lolz

Duh. . .yani kama mimi. Sehemu ambazo najua msosi wao sio mi hua nasema sina njaa hata kama tumbo linanguruma. Na kama kulala kunanihusu ntajitolea kupika ili nijue angalau dinner hainipiti.

Mi vitumbua hua napika sema hua nasumbuka sana na zile chapati zake (sijui wanaziiitaje vile ). . .otherwise filling hua inakua mwake sana. Yani hapo hata nikifunga macho hamna kufeli.

Hahahaha unaringia chapati za kuchambuka ehhh? Embu tushindane siku moja . . . lolz. . .maana siri naijua sana!!
Chapati ni chapati mamie,za vitumbua zinaitwa "dida" ukiliwezea dida ndiyo uchawi wote wa kupika vitumbua unakuwa umekwisha!!
 
chochote nipikacho lazima watu wajirambe.
Mtaani ikitokea shughuli wananiomba niwapikie esp vi birthday na kipaimara (sijui nianze kuwatoza???)

ila chapati ndo imenishinda jamani,
 
Chapati ni chapati mamie,za vitumbua zinaitwa "dida" ukiliwezea dida ndiyo uchawi wote wa kupika vitumbua unakuwa umekwisha!!

Yeahh hua zina kazi kweli. Ntatafuta mtaalam anifundishe namna rahisi ya kuzitengeneza.
 
chochote nipikacho lazima watu wajirambe.
Mtaani ikitokea shughuli wananiomba niwapikie esp vi birthday na kipaimara (sijui nianze kuwatoza???)

ila chapati ndo imenishinda jamani,

Hehehehe waambie wawe wanakulipa.
Ila kweli kama wanakukubali sana unaweza ukafanya kawe kabiashara kako. Kuna ndugu yangu yeye ni keki, keki na yeye. Alikua anatengenezea watu bure baadae akaanza kuwatoza muda wake ukawa hauendi bure.

Chapati zinakushinda wapi tukupe somo?
 
Back
Top Bottom