Kupatwa kwa Huddah: Azama kimapenzi kwa mchagga!

huyo jamaa "wakuitwaga" dany, mimi "nilijuaga" ni bonge la nigga kwa maana ya kwamba labda ana ushababi wa sisi watoto wa kiume marijali.

nimesoma comment hapa jf kwamba ni "bwabwa",na sasa namshusha hadhi.

"nilimjuaga" kupitia account yake instagram. kweli usilolijua ni kama usiku giza. asante jf.
Hahahaha ndo huyo dani lakin ka huddah ndo hukaelez kitu
 
Acha tamaa mrembo!
Avatar yako umenikumbusha mbali prof katika ubora wake siku moja kachacha kaenda penye booth ili ampigie simu jamaa yake amvunje kidogo mambo yakaingiliana prof akastukia dili jamaa anamuelekeza kuwa sheikh swalehe atakuja kuchukua hizo pesa baada ya swalaat jumaa akamtajia nyumba namba yake mtaa na jinsi atakavyo kuwa amevaa.
Prof akaenda kuazima kanzu na hagal na tasbihi ndefu kabla ya mshuko kawahi kavuta mkwanja wakati anatoka hatua chache kakutana na mtu kavaa kama yeye basi prof akasema kimoyo moyo nadhani huyu ndio sheikh swalehe mwenyewe.
 
Ila ka handsome ndo kama bwabwa sijui kwa nn wanaume wenye sura na ubwabwa lazma vihusike
 
Back
Top Bottom