kupata mkopo

FTDM

Member
Jun 16, 2012
8
1
nahitaji mkopo wa kukarabati nyumba ya kupangisha, benki hawatambui hii biashara jamani..
 
Mkopo wa sh. ngapi mkuu? Mbona unajieleza nusu nusu na wakati una shida?
 
nitatoa 20% riba per yr kwa hiyo nitarudisha 2400000/= ndani ya miezi mitano
 
Hata hivyo mkuu kuna benki zinazo tambua hiyo biashara kama vile Akiba commercial Bank. Benki zote zinazo kopesha kununua au kujenga nyumba zitatoa mkopo wa ukarabati pia. Ikishindikana benki basi ndio ujaribu watu binafsi na uwe tayari kutoa riba zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom