Kupandishwa cheo.

Kipstech

Member
Feb 15, 2012
38
22
*Kondakta akipandishwa cheo anakuwa dereva.
*Shemasi akipandishwa cheo anakuwa mchungaji.
*Mwalimu akipandishwa cheo anakuwa Headteacher.
*Nurse akipandishwa cheo anakuwa doctor.
*Naibu wa waziri akipandishwa cheo anakuwaWaziri.
*Je housegal akipandishwa cheo anakuwa nani?
 
Atakuwa Mrs baba mwenye nyumba
 
najua jibu unalotaka sasa ya nini nijibu!ila nurse kuwa doctor mhh,labda kwa sabb ni joke is ok!
 
cheo chake ni kikubwa coz atafukuzwa directing manager (maza house) na kupewa yeye.
 
Ah atakuwa yaya usitutie uchungu bure tukaanza kuwachukia kupanda kwao vyeo lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom