Kupanda gharama za maisha na pato la mtanzania

Ngahekapahi

JF-Expert Member
May 8, 2012
553
366
Ndugu zangu wanajamvi mimi hii kitu sielewi inalenga nini,na kwa upande wangu naona kama serikali imeshindwa kabisa kutekeleza wajibu wake.Kila leo unasikia gharama za huduma mbalimbali zikipanda mfano DAWASA kuanzia july wanapandisha gharama za maji,ambapo maji hayo hayapatikani sehemu zote kama inavyopaswa hapa Dar.TANESCO wakaongeza gharama za umeme,watu wa DALADALA na wenyewe wakata ongezeko la 150%,Vyakula bei juu.Wakati huo haya yote yanamkuta mtanzania mshahara wake au pato lake liko palepale.Sasa hii ni kumkomoa Mtanzania au nini ndugu zangu.Naomba kuwasilisha.
 
Ndiyo tujie kuwa kikwete siyo chaguo la mungu,hii laana imfikie kiongozi bongo fleva.UNATEGEMEA NINI?baraza lake la mawaziri wezi yeye mwenyewe ndiyo kabisaa,taasisi za uma zinashindwa kujiendesha sababu ya mfumo mbovu huyu ANGUKA ZAIDI.
 
Back
Top Bottom