Kupajua nyumbani tu, anataka nimuoe

My sentiments are two peas in a pod with those of lara1,
But i can't see a freaking harsh word outta ya towards her,
Is it because she has a treasure pocket with Her?------ Double standard!

She z a woman, I don't waste my energy arguing wit women. I also don't blame them wit their ways of thinking. You a grown a.s.s man shud think outside the box and post something wise and deep instead u did the opposite. Ulitaka niseme nn ??
 
Duh mtoto wa kishua,Godly family(whatever that means),classy chick with British education anahamia kwako kienyeji kuliko demu wangu wa huku uswahilini kwetu?! Story hii jitahidi kuieeka vizuri

Define/Elaborate ( fafanua zaidi ) hapo kwenye Red uki relate na hyo case hapo juu.
 
Duh mtoto wa kishua,Godly family(whatever that means),classy chick with British education anahamia kwako kienyeji kuliko demu wangu wa huku uswahilini kwetu?! Story hii jitahidi kuieeka vizuri

Na kweli,matendo ya manzi na sifa alizopewa haviendani kabisa..
 
Hapo umepotea na utakuwa haujafanya jambo jema kwa msichana wako ambaye tayari alishakuamini lakini ukashindwa kutunza uaminifu. Je huyo dada umeshamueleza?
 
ila watoto wa kichaga kwa kufosi king tu (kulazimisha ndoa nawavulia kofia) wadau wengi waojiingiza wny mahusiano nao kwa kupenda au kutopenda waliishia kuoa bila kuridhia moyoni,af ndani ya ndoa maumivu daily
 
Afu we jamaa naweza nikasema ni wa ajabu pia akili zako huwa haziwezi ku-decide jambo lolote before a woman...! Ebu fikiria kwanza she told you dat she's virgin but later u proved her wrong halafu anakung'ang'aniza kuwa ni wewe ndo umembikiri and you believed her wakati hakuna even a drop of blood,unategemea atakuwa mke mwema huyo? Eti she's Godly...nimechekaje..! Mwambie editor wako afanye editing upya ya movie kabla haijadoda madukani
 
Kwa lugha adhimu ya taifa letu kwenye ndoa kuna KUOA na KUOLEWA. Anayetuma maombi huoa na anayekubali ndiyo huolewa.
 
senior
Boss

Sure ungefikilia haya yote kabla ya maamuzi usinge kuwa na "mlimani city goldy lady"Mwanaume wa ukweli haendeshwi na hisia za upepo. kama yule kwa kwanza, alikuwa moyon mwako ilibidi huyu mpya umwambie kuwa u hv some one to marry it was just for fan. kuleta vitu vyake kwako haikuwa ishu maana kuna uwezekano wa kuvirudisha alipovitoa.
 
Last edited by a moderator:
My dia hapo umepoteaaa...umekutana nae m city then anajuganda...halafu kwann alazimishe kuolewa...asije akawa ni changu classic from UK

1. Define mwanamke changu.

2. Ni wanawake wote wote duniani wanaolewa na virginity ??

3. Ni haki kum judge kila Mwanamke asiye na virginity ya kua ni kahaba ???

4. What makes people so sure that yule mwanamke nliyemuacha alikua mtakatatifu na mwenye vigezo kamili vya kua mke ??

5. Kama ww ni mwanamme uliyeoa, huyo mkeo ulivyomuoa ulimkuta bikra/au ulikuta ameshakwisha ipoteza ?? Ni haki tuki mjudge huyo mkeo kuwa ni kahaba kwa kua ulivyomuoa hakua bikra ??

6. Ina maana gan mimi kuishi na mwanamke ambaye i no longer have feelings for, being in a relationship i think was a mistake at the first place ?? Huoni ntakua simfanyii haki huyo mwanamke ??

7. Ndio, alindanganya kuwa ni virgin ( i never believed it at the first place )....Is that enough kum judge mwanamke kuwa ni kahaba ?? What if she wasn't ready or comfortable at that moment to tell me about that particular experience she z been through ??

Hebu tuanzeni hapo kwanza....
Tujaribu kutoa hoja zenye uzito pande zote mbili.

Wengine mna diss humu sijui wakishua, sijui changu hawez kuwa mwaminifu and that amehamia kwangu kienyeji and that sina sauti and stuff like that, well mpaka mimi nimekaa kimya, nimeshindwa la kumfanya its because i do love her sooo much i don't wanna loose her na sikuona tatzo ye kuja ishi na mimi. Nimesha experience different women. This is tha woman whose gana give me a happy home & family. Take it or ditch it. I made my mind already ....

Wanawake wengine humu ving'ang'anizi wa ndoa/mapenzi balaa yet wamekuja ni diss in my thread...au niwa expose on what we used to talk kwenye inbox ???? Hahahaha
 
Back
Top Bottom