Kupajua nyumbani tu, anataka nimuoe

Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,405
3,678
Habarini wakuu.

Naomba niwa shirikishe kisa kimoja cha kuchekesha na ajabu sana.Kuna wanawake wengine wako desperate na ndoa hakuna mfano in such a way wako mawindoni 24/7.About 3 years ago one weekend nikiwa na roam around mlimani city then nikaamua kupata lunch in a restaurant there after nimekwisha pata nlichokua natafuta,kuingia restaurant hamad nikakutana na binti mrembo about 25 of age akiwa in a table alone eating.Gentleman nikauliza " may i please join u for lunch ?? Binti kajibu " sure u can ".

Kibaba nikajisemea moyoni " Yes, na siondoki bila mawasiliano hapa Lol" kupiga story mbili tatu na huyu mtoto nkingoja my order she is classic i must say nikafaham alikua ame just complete her degree in accounting & finance, UK (team wakishua) nikamtupia mistari kadhaa ikamuingia mtoto huyo wa kichagga tukabadilishana our dials and she agreed to me that we meet often as we can after a few 2 or 3 weeks penz likawa lina vibration ya hatari kuliko motorolla hatulali, hatuli, hatuamki asubuhi bila mahaba mazito kwenye simu Lol

Kwa kuwa alikua from a reputable, Godly and well off family sikuona mbaya akijua napoishi cause ali insist sanaa i must say na sikua na haraka nae siku ya siku bana akaja to my place tukaishia kuvunja amri ya 6 all that tym alikua akinipiga fix that she was a virgin na hamjui mwanamme maishani mwake and that alishaumizwa akawa depressed wit love issues (i didnt believe it ofcause).

Kula mzigo hyo siku bana, huyu mtoto hakua virgin wala nini wajanja walishafungua njia. Kumuuliza mbona yuko hvyo kanikazia macho anasema mi ndio nimeitoa nd that ni lazima nimuoe lasivyo anajiua amekomaa kweli dat mimi ndio nimeitoa nikawa nacheka tu,after a few months kidogo kidogo akawa analeta vitu vyake in my place,mwishowe pakawa kama ndio kwake ku spend the night there wasnt a problem to her and alishaanza kuwaambia baadhi ya ndugu zake nakaribia kujitambulisha kwao kumfukuza nashindwa nikawa najiuliza sasa nafanyajewakat huo i was already dating someone else.

Sifa kweli za mke nayemtaka kweli alikua nazo mrembo, young, msomi, mcheshi, mchagga kama mm, Godly na mengine mazuri sasa ikanibdi nifanye maamuzi magumu kuwachana na yule mwanamke mwingine i must admit i felt bad and sorry for her cause huyu mtoto ndio kashatia nanga ndio, i had fallen for her completely siambiwi, sielezwi sishkiki nimepigwa shoti, nikafa nikazikwa kwake.Sasa najiuliza ivi ni ndoa zote zinafungwa hivi kibabe, zinakuja naturally au ni makubaliano. Maana ni balaa sana, maana nikiwaza naona kama picha la kihindi.

 
Sifa kuu kuliko zote ya mwanaume halisi ni ule ujasiri, uthubutu na uwezo wa kuweza kufanya maamuzi magumu kwa faida yake na mustakabali wa maisha yake au waliompa dhamana.

Ukijiona kuwa bado huna uwezo wa kulifanya hili,
Kuna mambo mawili, aidha bado Mdogo (Hujafikia uwanamme) au tena kama wewe ni mkubwa basi ni Poyoyo.

Hutakiwi kukosea kuoa mkuu hasa kama nafasi ya options tayari unazo kama unavyosema.
Kwahiyo angalia yupi anakufaa kuwa mwenza wa maisha kwako na usiangalie yupi anakung'ang'ania au anakulainisha kwa lipi.

Kwahiyo tia akili.
 
Hivi on average,mahusiano mangapi yameanzia Mlimani City?
An educated guess,please!
 
dalalitz

First of all, im not a kid and not a coward, you have no idea of tha type of life i live or going through and i have already made my decision over a year ago, im just sharing my experience here.issue is sipendi kua a source of someone's pain and suffering.Put urself in tha shoes ya yule mwanamke nliyemuacha...try to imagine yuko katika hali gan.?

Tumeumbwa tofauti, sometimes huwa nakua mkatili sana in my daily grind issues but kwa yule mwanamke ni wazi nimemkosea na nilazima niwe na huruma...kuchezea feelings za mtu is no good thing at all.

Akifanya kitu cha kudhuru maisha yake.unafikiri ntakua katika hali gani mm nliyemsababashia hayo matatzo ?? Think of her well being and future....its easy to talk and brag out loud in here.Think before u post.
 
Last edited by a moderator:
Hahaahaaaaaaaaaaaaa! Virgin at 25???????? F.U! Ningekununuia kreti ya bia.

Unafanya the mistake of your life. Yule wa kwanza ndo BINGO. Manake kwanza hana makuu, amefundwa kutomngangania mwanaume, afu anakuamini. AINT NOTHING IMPORTANT IN YOUR MARRIAGE LIKE YOUR FREEDOM.

Yani huyu atakukalia kichwaniii, atakunyima raha mpaka utajutaaaaaaaaa. We mwanamke gani anajifanya virgin at 25????????? Yani huyo ni muongo alie kubuhu. Alafu hio kujiamishia inaonesha huna say. Kuna watu getto kwake unaliwa na huachi hata hanker chief.Ndoa sio fling mkuu. Utajutraaaaaaaaaaaaaaa!
 
dalalitz

Penzi kitovu cha uzembeee. Atakuja kuliona hili unalosema TOO LATE. Mchaga mwenzangu kesha mgeuza godoro ana mlala kabisaaa. I just feel sorry for him JUDGEMENT YAKE IKO CLOUDED NA KAMASUTRA.
 
Last edited by a moderator:
Naona kijana wa kiume unakaribia kuolewa...

Take Note:
I live by means. I am stable nd self reliant. She knows it nd i have my principles and codes ambazo yeye amekubali kuzifwata na kuzitii bila shurti. Keep ur words to urself brother.
 
Senior Boss

It seems you don't have a room to swing an opposite feeling, Eh? If So, That means you are here to recruit people who would sympathize with you.
*Bway,-You can gladly count me out in this one.

But, you should learn something at least for now, that; We live in a free world where freedom of speech prevails.To put everything in a nutshell:I don't need to do a thing just to please you or anybody else for that matter.
-I expressed my feelings, My-very-true-feelings in response to your narrative.If you don't like it, -Eat a slug.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha Thanks in advance.

My sentiments are two peas in a pod with those of lara1,
But i can't see a freaking harsh word outta ya towards her,
Is it because she has a treasure pocket with Her?------ Double standard!
 
Back
Top Bottom