Kuongelea ulivyongonoka na marafiki

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,559
21,040
Wakati wa ujana kabla ya ndoa vijana (naongelea wa kiume) mara nyingi uwa na tabia ya kuongelea jinsi walivyongonoka na demu na style alizotumia kuanzia alivyomtongoza mpaka jinsi walivyochinja kobe na tulikuwa tukielezana kila kitu na jinsi style fulani inavyotumika na reaction ya demu jinsi ilivyomkuna

Swali langu Je mademu nao walikuwa wanasimuliana kama wanaume?
 
Mhhh sie shule tulikua tunahadithiana mwisho wa siku unakuta watu wanahamasika kuutokea mzigo wako kutokana na hamasa uliyowapa
 
Sio kila sehemu utasema, maana kuna mademu wengine umekutana nao lakini hadi sasa hutaki hata kukumbuka kuwa ulipita pale kulingana na matarajio yako na uliyoyakuta...! Lakini ukweli ni kwamba, mara nyingi sisi wanaume tunajivunia kuhesabu namba za wanawake uliowapitia na jinsi tunavyowafahamu...! Japo hii akili huja hadi kufikia hatua ambayo utaanza kuona cha kawaida. Hata hivyo naamini (sina uhakika) kuwa hata wanawake huadithiana haya kulingana na jinsi anavyokuvalue wewe mwanaume, na hii itakuwa ni wakati tu akiwa na yule mwanaume, lakini wakiachana hisia hubadilika...! Pia hujulikana kuwa wanawake huwa wanaumia sana kila anapokutana na mwanaume, then wanaachana, lakini hufika kipindi ataona ndivyo maisha yalivyo, na ataanza naye kuona kitu cha kawaida kabisa kuachika; (hapa hata ule umakini wake kwa wanaume unpungua sana), na wengine huamua kuwa wakali na kuwachukia wanaume wote kwa kuwaona kama wako sawa...! Aidha, wanawake wanaweza kutusaidia zaidi.....
 
Hata wanawake huwa wanasimuliana ila sio kwa kiwango kama cha wanaume
Enzi za sekondari nikiwa kidato cha pili kuna dada mmoja ambae alikuwa anatuzidi umri darasa nzima i.e wavulana karibia wote darasani tulikuwa wadogo kwake alikuwa na tabia ya kutukusanya wavulana tu na kutusimulia namna alivyokuwa anashughulikiwa na boifrendi wake ambae alikuwa ni mfanyabiashara mmoja wa kiarabu.
It was very interesing!
 
Kwa nini alikuwa anafanya hivyo? Unadhani ukionana naye leo hii, na tuseme pengine alishaolewa ni mke wa mtu, ataweza kukutazma usoni kweli? Huyu dada yako alikuwa mjinga sana!
 
mambo ya foolish age hayo utakuta hapo watoto mnasimamisha vikojoleo mpk vinauma, mie nakumbuka kuna dada mmoja tulikuwa darasa la sita nilikuwa naongea nae free kuhusu mambo ya ngono (tulikuwa tunayaona kwenye movie za X) akawa anapenda sana hizo story ila yeye alikuwa hajawahi kuona kuna siku akaniambia anataka kuona kojoleo langu ili ajue ikoje na mie nilivyokuwa mjinga nikamuonesha yule dada alitoka mbio akaenda kusimulia mademu wa darasa zima kuwa kaona dudu yangua unaambiwa nilitega shule siku 3 kwa aibu
 
Hahahahahahaaaa, ama kweli dunia ina mambo. Kumbe nchi hii wagonjwa ni wengi ila uzuri ni kuwa wengine ugonjwa wao sio wa kuanguka jukwaani. Umenichekesha sanaaaaaa
 
we acha tu haya mambo si mchezo
 
Kwa nini alikuwa anafanya hivyo? Unadhani ukionana naye leo hii, na tuseme pengine alishaolewa ni mke wa mtu, ataweza kukutazma usoni kweli? Huyu dada yako alikuwa mjinga sana!
Habadiliki mpaka sasa mambo yake ni kama enzi za foolish age.......hajaolewa!!!!!
 
Enzi za sekondari nikiwa kidato cha pili kuna dada mmoja ambae alikuwa anatuzidi umri darasa nzima i.e wavulana karibia wote darasani tulikuwa wadogo kwake alikuwa na tabia ya kutukusanya wavulana tu na kutusimulia namna alivyokuwa anashughulikiwa na boifrendi wake ambae alikuwa ni mfanyabiashara mmoja wa kiarabu.
It was very interesing!

Indeed very intresting natamani siku ukutane na huyo dada ujaribu kumkubushia alivyokuwa anawahadithia atajisikia aibu sana
 
Kwa nini alikuwa anafanya hivyo? Unadhani ukionana naye leo hii, na tuseme pengine alishaolewa ni mke wa mtu, ataweza kukutazma usoni kweli? Huyu dada yako alikuwa mjinga sana!

Dont you thing you are over reacting?
By the way we ni Ukoo wa Makanyaga wa Ntalikwa!
 
Back
Top Bottom