muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,511
- 3,477
ahahahahaaaaaaaaa, hapo patam sana! unatakiwa usichanganye ndoa na taaluma! elimu ya ndoa ni mhimu sana kwani wanandoa wa siku hizi wote wamekuwa wakiact isivyo!
hahahah... Na kila style ina sheria yake. Loh!
Nipo mahali hapa na majamaa ambao wote wake zao ni wanasheria. Tulianza kuongelea ishu za Ndoa. Kifupi hawa jamaa wote wawili wanajuta kuoa wanasheria, mmoja ndio alimsomesha mwenyewe mkewe sheria ndio anajuta kwanini alimsomesha sheria. Majamaa wanasema nyumbani kila siku ni pamoto. Ishu ndogo tu basi watapewa vifungu vya sheria. Yani kwa mtazamo wao wake zao kwa kujiona wanajua sana sheria basi heshima haipo kwa waume zao.
Wale mliooa wanasheria, ni kweli mnakumbana na haya!!.
Update!!
Majamaa wanasema wanawake watiifu ni walimu na manesi!.
Hata wanaume wanasheria ni tatizo si wanawake tu. Nina kaka yangu mwanasheria nakumbuka wakati bado wote tunaishi kwa wazazi ilifika kipindi kila mtu alianza kumchunia.. yani ukipiga stori kidogo .. mfano nimesikia hivi na hivi anaanza kukwambia umpe evidence... Kha... evidence na mimi nimekwambia nimesikia. Wanaboa aisee... Wamezoea ubishi tokana na nature ya kazi yao... Yani wanajifanya kila kitu wanajua wao.
Ilifika kipindi kabla ujampa stori yotote mpaka ukalukuleti kama una material facts za kutosha. Lol. Wakati ni stori tu za kahawa.
Mwanamke mwema anatoka kwa Mungu wengine watakuumiza kichwa