Kuoa mtu mwenye ulemavu sio kufeli

Habari Wakuu,

Leteni ushuhuda hapa wadau kwa wale walemavu waliooa au kuolewa na mulemavu mwenzie.

Nianze na upande wangu, mimi ni mlemavu wa sikio (kutosikia vizuri), nimeoa dada mwenye tatizo kama langu na maisha yanaenda kama kawaida

Kuoa mlemavu sio kufeli!
Hata wewe ni mlemavu mtarajiwa
 
Back
Top Bottom