Kunywa maji baada ya kusikia kiu ni kujiandalia kifo cha mapema na chenye maumivu sana:

du haya maji kila mtu anaandika anavyopenda, sijui kwa sababu
wanasema maji hayana rangi? mara wengine usinywe maji wakati wa kula,
mara kama unakimbia, kunywa maji nusu saa baada ya kupumzika.
utafiti wangu na mapendekezo ni haya.. kunywa maji unaposikia kiu, kama
ambavyo tunameza mseto baada kuugua malaria, tena afadhali homa
ina kinga, kiu haina kinga....mambo ya uhai tumwachie mwenye HATI MILIKI.
 
huo ni UTAFITI wako mkuu kama ulivyoandika, bali kwa mjibu wa dr.Batmanghelidj (http://watercure.com/about_dr_b.html) ambaye mi ninamnukuu hapa haupo kama UTAFITI wako unavyosema.
 
Back
Top Bottom