Kunyimana siku ya mwanzo kuna faida katika uhusiano.........

De Javu

JF-Expert Member
May 5, 2010
264
33
Delaying sex makes for a more satisfying and stable relationship later on, new research finds. Couples who had sex the earliest such as after the first date or within the first month of dating had the worst relationship outcomes.

Source: Livescience
 
Walio du siku ya kwanza (kabla ya baba paroko) na walio du baada ya baba paroko, hakuna utofauti Kwa elimu mtaani niliyo nayo! mkuu
 
Walio du siku ya kwanza (kabla ya baba paroko) na walio du baada ya baba paroko, hakuna utofauti Kwa elimu mtaani niliyo nayo! mkuu

tofauti ipo kwani wewe ulifanyaje....... baada au uli wait till baba paroko.........
kwa jinsi nilivyo muelewa mi mtoa mada ni kuwa at the early stages i mean kukubali ombi leo na ku do next week,.......
ambayo ni kiashirio kuwa ni tamaaa ya ku s.e.x inakuwa kubwa na si upendo,
ndio maana wapenzi walioanzia kwenye urafiki huw ni wazuri sana kuliko wale wa kwenye ngono direct
 
Back
Top Bottom