colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,896
Habar wakuu
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza
Nimewekewa umeme siku chache tu nyuma ila tangia jana najarbu kununua umeme naambiwa meter namba haitambuliki na muamala una feli
Na nimejarbu kuwapigia tanesco mara kadhaa wananipa ahad hewa
Tatizo itakua ni nini wakuu? Naombeni msaada
TANESCO