kuna watu..........

Huu ujumbe utume moja kwa moja kwa huyo mlengwa. Itakuwa bora zaidi.

Binadamu tuna mapungufu yetu. Wengine tunafanya makosa bila ya kujijua, ila tukijenga tabia ya kuambiana ktk mapungufu yetu, itawezesha kuwa na jamii iliyostaaribika.

Pengine huyo rafiki yako hajijui kuwa anakukosea. Jaribu kumueleza kuwa tabia yake sio. Kama kweli urafiki wenu unaupenda.

Binadamu tuna tamani kuwa sawa, ila kwakuwa tuna mitizamo tofauti. Kwame hatuwezi kuwa sawa.
 
Hii thread ungeiunganisha na ile ya jana inayoelezea mambo yanayoweza kukupunguzia umaridadi.
 
ni vema kama ukimweleza muhusika mwenyewe live,maana yaweza kukaa kwako kimya kukamfanya yy kuamini yuko sahihi!!
 
That's is a world! Pakikosekana watu wa hivyo , haikamiliki kuitwa dunia Ulimwengu.
 
Back
Top Bottom