Kuna watu wanajidanganya Wanaweza Kumuua Mtu Marekani na Kuget away!

Hii inaletwaje hapa mbona haina tija?

47bdba4dac519f2337a17e88dd2a10e9.jpg
jadili hilo.
 
Hakuna anaetaka kumuua huyu binti. Anamatukio yake amekuwa anayafanya huko US yanayomfanya ahisi iko siku anaweza akapigwa shaba na ma gangstars, amekata tamaa kwakuwa anahakika na aina ya kifo atakachokufa nacho. Anatumia serikali ya Tz kama scape goat. Hivi niwaulize, huyu binti anafanya shughuli gani USA ili kuendesha maisha yake??? anafanya kazi gani USA

Matukio yapi?
 
Awe ana Kazi au hana Kazi ana haki ya Kuishi kama Wengine. Pili as Long as Simpelekei Maziwa, Mkate na Sangara mezani kwake anavyoyamudu maisha yake mimi na wewe yanatuhusu nini?
Kwa masikitiko makubwa naona aina ya watanzania tulionao hivi sasa. Mods, nashauri mjitahidi kuavoid jf kugeuzwa kijiwe cha umbea na porojo za instagram. Scraps kama hizi muwe mnazisafisha haraka ili waendelee kuongea haya mambo yao huko huko insta.
 
Nafanya nini USA, Naishi nafanya Shughuli zangu na Kutunza Familia yangu, Hivi Unathubutuje kumhoji mtu kwanini anaishi anapoishi? So should I get a permission from you now as to where I should live? Hata wewe huoni Usemi wako unahitaji marekebisho?
Mjinga Sana huyu mfuasi WA Lumumba,
 
Kwahiyo unaringia kuishi Marekani sababu ukiwa umekufa kwa stress za boksi na ulevi imaginary assassin wako kutoka Tanzania atakamatwa hata kwa $100,000?
No sio Kila anayeishi USA anastress ni wasio na Mipango Niko US for 17 Miaka 7 hivi ya mwanzo Nilisota sana Lakini kwa sala na Mipango Mizuri sasa Ni Mkondorasi wa Umeme tena Wa Industrial scope sio residencial au commercial! Ni umeme wa Usongo mkubwa na Mashine za Viwanda na Mtambo mikubwa! Na Waliosajiliwa na Kuwa certified kwa Kiwango cha Masters ni wa Kuhesabu. Mi kazi chini ya $2000 kwa siku mbili hata simu usinipigie!
 
Hakuna anaetaka kumuua huyu binti. Anamatukio yake amekuwa anayafanya huko US yanayomfanya ahisi iko siku anaweza akapigwa shaba na ma gangstars, amekata tamaa kwakuwa anahakika na aina ya kifo atakachokufa nacho. Anatumia serikali ya Tz kama scape goat. Hivi niwaulize, huyu binti anafanya shughuli gani USA ili kuendesha maisha yake??? anafanya kazi gani USA
Kwan wew unafanya kazi gan tz.unatuuliza cc iliujue ikusaidie nin sasa?
 
Hakuna anaetaka kumuua huyu binti. Anamatukio yake amekuwa anayafanya huko US yanayomfanya ahisi iko siku anaweza akapigwa shaba na ma gangstars, amekata tamaa kwakuwa anahakika na aina ya kifo atakachokufa nacho. Anatumia serikali ya Tz kama scape goat. Hivi niwaulize, huyu binti anafanya shughuli gani USA ili kuendesha maisha yake??? anafanya kazi gani USA
Yule si mwanamke ana duka lake anauza
 
Hakuna anaetaka kumuua huyu binti. Anamatukio yake amekuwa anayafanya huko US yanayomfanya ahisi iko siku anaweza akapigwa shaba na ma gangstars, amekata tamaa kwakuwa anahakika na aina ya kifo atakachokufa nacho. Anatumia serikali ya Tz kama scape goat. Hivi niwaulize, huyu binti anafanya shughuli gani USA ili kuendesha maisha yake??? anafanya kazi gani USA

'Toa upumbavu wako
 
Mtanzania aliyemuua Mtoto wa Dada yake akidhani atachoropoka!

1) Ukitafuta Habari za Mtu Facebook na Akafa au Kupotea Kiutata Utatafutwa
2) Simu yako ikionekana Katika Mlingoti wa simu Karibu na aliyepotea au kufa Kiaina Utapatikana
3) Mtanzania Yoyote akipotea au Akifa Kiaina na Ukajulikana Uliwasiliana au Kutumiwa Pesa Kiasi Kikubwa na Kiongozi wa Tanzania Utapatikana
4) Computer yako au simu yako Ikiwa mojawapo ya aliyesearch address ya Mtanzania aliyepotea Au Kufa Kiaina Utapatikana
5) ukisafiri tuseme Texas kwenda Florida halafu Mtu uliyetafuta Address yake Florida akapotea au kudhuriwa utapatikana!

Wanaomtisha Mange na TL Marandu Marekani sio SA, ili Wafanye Kama walivyomfanya Karegeya na Nyamwassa! Patachimbika na Hapatawatosha! Mtakuja kuchukuliwa kama Kuku hapo TZ na hakuna atakayekohoa,na Kama Uko US unashawishiwa ati Umdhuru Mtu kwa Niaba ya watu Fulani, wakulipe, Unatafuta Kunyongwa Tu.

Huamini Fuatilia Kisa Cha Mwivano Kupasa! Marekani hata Kama Ukiua Changudoa, Watatumia hata dolar 100,000,000 Wakupate! Walisafirisha Wazazi wa Muvano Kupaza Kutoka Morogoro kuja Kutambua Fuvu la binti yao. Cheza na Eagles wewe! " Nasema Mange Chapa Kazi"

Unadhani US ni mbinguni? Ni rahisi kupigwa risasi US kuliko Tanzania tena kwasababu za kijinga tu. Halafu kumbuka authorities zenu hazina reputation nzuri kwenye kusolve kesi za watu weusi.
 
Hahah mkuu hapo ndio humuoni tena, wanatumwaa kuja kupinga wakati kichwa empty.
Hawa jamaa wajinga Sana, yaani uchama umewafanya wamuone Roma Hana thamani Leo.

Hivi Ni kweli sisi CDM Tu ndio tulikua tunaenda kwenye show za Roma? Nyimbo za Roma hazimo kwenye maktaba za wana CCM?
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Similar Discussions

Back
Top Bottom