Kuna vitu unaweza kumsaidia mkeo na kuna vitu huwezi kumsaidia: hii imekaaje?

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
haijalishi unampenda mke wako kiasi gani
kuna vitu unaweza kumsaidia na kuna vitu huwezi kumsaidia kwa mfano huwezi kumsaidia mke wako kubeba mimba hata kama unampenda sana - by Kamanda Lema
 
haijalishi unampenda mke wako kiasi gani
kuna vitu unaweza kumsaidia na kuna vitu huwezi kumsaidia kwa mfano huwezi kumsaidia mke wako kubeba mimba hata kama unampenda sana - by Kamanda Lema
Kamanda Lema nimemkubali. Alichimbua sana hadi kupata hiyo mistari. Big up Lema. Bado huwezi kupasua yai ukatoa kifaranga
 
Dr. Unaniskitisha hujawa ndoani ! Kama daktari utatoaje consultation to the marriege couple wakati wewe bado ?

watafundishwa namna ya kuandaana, kufanya mapenzi ambazo kila mtu anaweza fundishwa, kwenye mambo ya heshima cjui nn wanapelekwa kwa wazee wa kanisa maana wao wataona aibu kufundisha namna ya ku.......na.
 
Back
Top Bottom