Kuna ukweli wowote kuwa mboga ya 'chinese' inapunguza mbegu za kiume?

Ommossani

Member
Apr 13, 2013
53
20
Wasalaam wakuu,

Nasikia kuwa mboga za majani aina ya "Chinese" zinapunguza mbegu za kiume. Kuna ukweli gani juu ya hili?
 
amna ukweli juu ya ilo ni uzushi wa wabongo... matatizo ya mboga yanaweza jitokeza iwapo haitapikwa vizuri yaweza leta nematodes infections kama ascaris,hookworm...ila juu ya nguvu za kiume hapana
 
Back
Top Bottom