Kuna ukweli kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora kwenye ligi kuu?

Hapana ishawahi kuwa nje ya namba two
Mfano wa hivi karibuni ni msimu wa 2017/2018
Pamoja na msimu wa 2011/2012 ilimaliza ikiwa namba 3 misimu hiyo miwili, ila nje ya top 3 haijawahi inyeshe mvua lije jua.
Hata mimi nakumbuka kitu kama hiki.
 
Yanga haijawahi kuwa nje ya top two tangu imeanzishwa,ila wale makolo walishakaribia kushuka daraja tukawaokoa na tukakosa ubingwa kwa ajili yao. Na hata ipitie magumu na ukata kiasi gani haijawahi kuwa nje ya top two.
Àaahaaà
 
Yanga haijawahi kuwa nje ya top two tangu imeanzishwa ila wale makolo walishakaribia kushuka daraja tukawaokoa na tukakosa ubingwa kwa ajili yao. Na hata ipitie magumu na ukata kiasi gani haijawahi kuwa nje ya top two.
Hii mechi yanga alionesha upendo wa ajabu sana Simba wanapaswa kutuheshimu maisha Yao yote
Huu ubingwa alichukua coastal
 
Back
Top Bottom