Kuna ukweli kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora kwenye ligi kuu?

Yanga haijawahi kuwa nje ya top two tangu imeanzishwa,ila wale makolo walishakaribia kushuka daraja tukawaokoa na tukakosa ubingwa kwa ajili yao. Na hata ipitie magumu na ukata kiasi gani haijawahi kuwa nje ya top two.
Hapana ishawahi kuwa nje ya namba two. Mfano wa hivi karibuni ni msimu wa 2017/2018
Pamoja na msimu wa 2011/2012 ilimaliza ikiwa namba 3 misimu hiyo miwili, ila nje ya top 3 haijawahi inyeshe mvua lije jua.
 
Sasa kama mliweza kuwa juu miaka yote na bado mlizidiwa kitakwimu na Simba kimataifa hamuoni kama kulikuwa na mbeleko? Yaani Real madrid izidiwe na valencia UEFA!
 
Back
Top Bottom