Kuna ukweli gani juu ya hii ' Tetesi ' kuwa Brazameni Dj Majizo ( Majey ) amebwagana na Mpenziwe Lulu?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Bado sijaithubitisha rasmi ila nimepata Kudokezwa na Mtu aliyeko Jikoni na pia karibu na Mmoja wao hapo kuwa huu Uhusiano umeshavunjika rasmi japo taratibu zote za Harusi ambayo ilipangwa kuwa ya mfano Tanzania nzima ( ya Kiufahari zaidi ) zilikuwa zikifanyika na kuendelea.

Kama hii Tetesi itakuwa ni kweli basi naomba leo hii niwe wa Kwanza kabisa Kumshauri Elizabeth Michael ( Lulu ) aachane rasmi na Masuala ya Kimahusiano ( Mapenzi ) na ajikite zaidi katika Kumtumikia tu Mwenyezi Mungu kwani yawezekana hana Bahati ya Wanaume au ana ' Gundu ' moja kubwa mno au kuna Watu aliwakosea hivyo aende akawaombe Radhi.

Naomba taarifa hii iwe Kwanza kama Tetesi ila kama kuna Wadau wengine ( kwani najua JamiiForums huwezi Kukosa Jibu ) wana Ukweli kamili juu ya hili basi karibuni hapa muweke kila Kitu hadharani na hatimaye hata Mimi sasa niamini na nimuamini pia na huyo ' Mtonyaji ' wangu na ikiwezekana niendelee Kumuamini kwa mengineyo huko mbeleni.
 
Majizo aliingia cha kike pale, yule jamaa ni mkubwa kiumri na pesa mfukoni lakini hajafanikiwa kupata hekima ya kuchagua mtu wa kujenga nae maisha ajifunze kwa wenzake akina Masanja na Sugu

Yule lulu ana gundu yule pale hakuna mwanamke wa kuowa pale ni kisirani kujiletea pale
 
Sio kila demu anaetafunwa Inaishia katika ndoa wengine wanakua wa kujifunzia tu. Mbn akina Dada hamuelewi!!!!
Hamna Baharia mwenye akili timamu anaeweza kumuoa lulu, hadi sasa hivi Ma jay hajaweza kutia mimba, wakati kipindi akiwa na Hamisa Mabeto ndani ya mda mfupi katia mimba...

Labla Lulu asubiri mabaharia wa Kigiriki waje wamuoe
 
Au RC anaijua hii habari ndio maana ghafla kakiongelea sana hicho kifungu? Isiwe kweli yulee mtoto kapitia mengi sana anahitaji faraja.
Ndio maana nikasema hivyo maana ukweli ni kwamba rc yuko upande wa lulu
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
Jamaa yupo bize na ngono tu redio kamsusia sebo aiseee...
Na hii toka ruge afe
Bado sijaithubitisha rasmi ila nimepata Kudokezwa na Mtu aliyeko Jikoni na pia karibu na Mmoja wao hapo kuwa huu Uhusiano umeshavunjika rasmi japo taratibu zote za Harusi ambayo ilipangwa kuwa ya mfano Tanzania nzima ( ya Kiufahari zaidi ) zilikuwa zikifanyika na kuendelea.

Kama hii Tetesi itakuwa ni kweli basi naomba leo hii niwe wa Kwanza kabisa Kumshauri Elizabeth Michael ( Lulu ) aachane rasmi na Masuala ya Kimahusiano ( Mapenzi ) na ajikite zaidi katika Kumtumikia tu Mwenyezi Mungu kwani yawezekana hana Bahati ya Wanaume au ana ' Gundu ' moja kubwa mno au kuna Watu aliwakosea hivyo aende akawaombe Radhi.

Naomba taarifa hii iwe Kwanza kama Tetesi ila kama kuna Wadau wengine ( kwani najua JamiiForums huwezi Kukosa Jibu ) wana Ukweli kamili juu ya hili basi karibuni hapa muweke kila Kitu hadharani na hatimaye hata Mimi sasa niamini na nimuamini pia na huyo ' Mtonyaji ' wangu na ikiwezekana niendelee Kumuamini kwa mengineyo huko mbeleni.
 
Hapa sasa ndio anapohangaika na kile kifungu ha ha ha huyu RC bana huyu jamaa hata kaa apate akili hata ya kuvuka bara bara kwenda upande wa pili na isitoshe ila Bashir kamchana kama ana akili afanye ya maendelo
 
Bado sijaithubitisha rasmi ila nimepata Kudokezwa na Mtu aliyeko Jikoni na pia karibu na Mmoja wao hapo kuwa huu Uhusiano umeshavunjika rasmi japo taratibu zote za Harusi ambayo ilipangwa kuwa ya mfano Tanzania nzima ( ya Kiufahari zaidi ) zilikuwa zikifanyika na kuendelea.

Kama hii Tetesi itakuwa ni kweli basi naomba leo hii niwe wa Kwanza kabisa Kumshauri Elizabeth Michael ( Lulu ) aachane rasmi na Masuala ya Kimahusiano ( Mapenzi ) na ajikite zaidi katika Kumtumikia tu Mwenyezi Mungu kwani yawezekana hana Bahati ya Wanaume au ana ' Gundu ' moja kubwa mno au kuna Watu aliwakosea hivyo aende akawaombe Radhi.

Naomba taarifa hii iwe Kwanza kama Tetesi ila kama kuna Wadau wengine ( kwani najua JamiiForums huwezi Kukosa Jibu ) wana Ukweli kamili juu ya hili basi karibuni hapa muweke kila Kitu hadharani na hatimaye hata Mimi sasa niamini na nimuamini pia na huyo ' Mtonyaji ' wangu na ikiwezekana niendelee Kumuamini kwa mengineyo huko mbeleni.
Kakuta azai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom