farfat
Senior Member
- Jun 10, 2021
- 158
- 265
Habarini za jioni wakuu ni matumaini yangu mko njema kabisa.
Kumekuwa na fikra nyingi ktk jamii zetu mfano ni huu kuhusu tabia flan flan zinazohusishwa na makabila moja kwa moja.
Utaskia watu wakisema kwamba warangi ni malaya sana au wafipa na watu wa tanga ni wachawi sana au wakulya ni wakorofi sana.
Hizi mambo zinauhusiano gani na makabila yetu?
Alamsik