kuna uhusiano gani kati ya kiss na macho?

Mani H

Senior Member
Mar 25, 2011
180
46
I hope ni wazima wanajf,katika pitapita zangu nimegudua kitu kuhusu kiss, mara nyingi mkiwa mnapiga kiss na mpenzi wako hasa kiss ya face 2 face mmoja au wote lazima mfumbe macho, ni kwanini hutokea hivi? Tena wakati mwingaine hata kiss za mashavuni bado macho yanafumbwa. Mwenye ufahamu na hili jambo naomba majibu.
 
Kwani kuna uhusiano gani kati ya kiss maeneo ya usoni na sio kwenye unyayo!
 
Pale huw mara ntingi inatokea hvyo kwasababu ya feelings amabayo iko ndan ya macho
 
Muulize huyo mwenzako why anafumba macho

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
nikimkisi demu afu akanitolea mimacho lazima nimuone mwizi,
 
Em na wewe jaribu kukiss ukiwa macho wazi kama utaweza utoe jibu imekuwaje...kwa mim nahisi ndivyo ilivyo macho yakiwa wazi nahisi itakua haina mvuto..!
 
Utamu wowote ukizidi lazma ufunge macho
Hata ukiwa unamumunya pipi we jichunguze lazma kuna wakati unafunga macho
Ndo binadamu tulivyoumbwa.
 
mbona mi mijicho huwa wazi kabisa na hata yeye sa ingine anafunga saa ingine anafungua ....... we kama unafumba shauri yako kwani mnataka kulala mpaka mfunge macho
 
Back
Top Bottom