Kuna uhusiano gani kati ya gazeti la Rai/Mtanzania na CJJ ?

Mbunge

Senior Member
Aug 7, 2008
104
10
Ninavyoelewa mimi ni kwamba Rai/Mtanzania ni gazeti la mafisadi ambao wanataka kuhalalisha kuwa kwao na MALI nyingi kwa kushika nyadhifa za juu pia za kisiasa nchini.
Wakati CJJ nimeambiwa ni chama cha watu safi wanaotaka kujitoa CCM kwa sababu wanaamini wanaweza kuijenga Tanzania kiuchumi na kijamii bila kutegemea sana misaada toka nchi na pia kutenga siasa na uchumi!
Hebu tuelimisheni!!!
 
Magazeti haya yanajaribu kutumia propaganda kuonyesha kwamba kuna watu ni wahalifu au wanakiasi chama ili wafukuzwe. Ni mbinu iliyoshindikana sababu welengwa wameshtukia dili
 
Ninavyoelewa mimi ni kwamba Rai/Mtanzania ni gazeti la mafisadi ambao wanataka kuhalalisha kuwa kwao na MALI nyingi kwa kushika nyadhifa za juu pia za kisiasa nchini.
Wakati CJJ nimeambiwa ni chama cha watu safi wanaotaka kujitoa CCM kwa sababu wanaamini wanaweza kuijenga Tanzania kiuchumi na kijamii bila kutegemea sana misaada toka nchi na pia kutenga siasa na uchumi!
Hebu tuelimisheni!!!

unaweza kunielewesha/kunihabarisha mimi nisiyejua hilo, kuwa haya magazeti ni ya kifisadi, weka wazi mkuu,JF hii, uwanja wako
 
Bongo politics....kaziiii kweli kweli!
ukiangalia namna haya mambo yanavyoripotiwakuna jambo moja dhahiri unan'gamua, siasa za visasi, siasa za wogo na aina nyingine ya ujinga na ushenzi.
kina RA WANAWAOOPA WANASIASA WA KARIBA YA KINA MWAKYEMBE, SITTA, MPENDAZOE na wengine, wanatumia mbinu chafu na kali kuwarubuni wanaCCM wenzao kuwa hawa kina Mwakyembe ni adui wa chama chao.
mikwaruzabo tunayoiona ni vita inauoendelea ya kundi la mafisadi sugu wakiongozwa na RA na kwanyuma yupo manji kwenye kivuli na kulia Lowassa na Katibu mkuu wao Manji.
watawadanganya wee, mwishoe watang'amuliwa.
 
Back
Top Bottom