Kuna Ufisadi wa kutisha pia kwenye NGOs na Private Sector.

Master Legendary

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
550
786
WanaJF hawa wanaojiita 'watchdog' nao wamulikwe wanapiga hela laini mno isiyo na kelele wala manung'uniko,watu wanapiga mpaka hela za watoto u cant believe asee!Unajua fedha nyingi za NGOs ni training watu wanakula perdiem za hatari daily na bado wanasaini za washiriki ambao hawakufika,sehem nzingine hata training hazifanyiki watu wanapika payroll na kufoji receipt za malazi na vyakula hela inatafunwa nzimanzima kama ilivyo huwezi amini af Mpigaji akitoka hapo anaitisha vyombo vya habari anatoka povu anakemea wizi serikalini teh!Benki maafisa mikopo wanagonga 10% vibaya mno!Watu kila kona wanapiga af ukiwauliza wanasema kila mtu anakula ofisini kwake sasa tusio na Ofisi tule wapi?,Hawa wanajisahau huku wanazoea kupiga siku wakiingia serikalini ndiyo wanaendeleza libeneke Rushwa inakuwa balaa,WanaJF ni vyema tupambane kotekote asee!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ianze kuchunguzwa ngo ya mpenzi wake zitto,ni ufisadi mtupu,pesa za mradi zimekua za kumkatia ticket mchumba kwenda kigoma kisiasa
 
Wizi wa kuiba na kusingizia kula ofisini kwako ni mfumo ccm ambao ndio kilio cha cdm kuja madarakani ili kuutokomeza.
 
Inaonekana vitendo hivyo unavijua na unashuhuda navyo, sasa tutajie ili tujue pa kuanzia.
 
Hao wanafanyakazi wanaopiga peza za NGO ni wanafuasi wa Chama cha Matapeli (CCM) ndiyo maana hatuwataki wabaki Madarakani 2015!
 
Back
Top Bottom