Kuna 'Sober House' za punyeto?

Iyegu

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
6,276
12,397
Hili janga la "kujichua" limekuwa kubwa na limeathili vijana wengi, kiukweli ukianza "kujichua" wewe ni sawa na mtu aliyeanza madawa ya kulevya, yaani kuacha ni "muujiza", wengine mpaka wanaoa lakini bado wanaendelea.

Wadada humu wanalalamika kuwa hawaridhishwi na wapenzi wao eti kisa "punyeto". Hivi jamani hakuna "sober house" ambazo zinatupokea sisi tulioathiriwa na hii kitu? Maana tangu nifundishwe na mwalimu wa sayansi std 7 mpaka leo sijaacha, popote ulipo ticha mungu anakuona.

moto wa maji Mwenyekiti CHAPUTA
The Book Katibu Mkuu CHAPUTA.
 
..Hili janga la "Kujichua" limekuwa kubwa na limeathili vijana wengi,kiukweli ukianza "kujichua" wewe ni sawa na mtu aliyeanza madawa ya kulevya,yaan kuacha ni "muujiza",wengine mpaka wanaoa lakini bado wanaendelea,wadada humu wanalalamika kuwa hawaridhishwi na wapenzi wao eti kisa "punyeto".
..ivi jamani hakuna "sober house" ambazo zinatupokea sisi tulioathiliwa na hii kitu?..

Cc Wapigaji wote.
Kaokoke church ni sobber nzuri ya punyetto.
 
..Hili janga la "Kujichua" limekuwa kubwa na limeathili vijana wengi,kiukweli ukianza "kujichua" wewe ni sawa na mtu aliyeanza madawa ya kulevya,yaan kuacha ni "muujiza",wengine mpaka wanaoa lakini bado wanaendelea,wadada humu wanalalamika kuwa hawaridhishwi na wapenzi wao eti kisa "punyeto".
..ivi jamani hakuna "sober house" ambazo zinatupokea sisi tulioathiliwa na hii kitu?..

Cc Wapigaji wote.
Tatizo kubwa Sana kwa wanaume wengi mpiga nyeto na teja wa unga hawana tofauti
 
Daaaaaa.......hiyo sijawahi kuisikia labda mnijuze uzuri na hao waathirika wanalelewa vipi ili waachane na hiyo kitu
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Wadada hawaridhishwi na wapenzi wao sababu hawaridhiki na wao wanajichua mpk hawamtamani mwanaume. Wadada wengine hawaridhishwi sababu walivyozoea kufanyiwa na ex wao hawafanyiwi na new bf, wanataka kufanyiwa vile vile au kama kwenye movie wanavyofanya.
 
me leo nimejilipua asee daa bado cku nne ningemaliza mwezi
acha masihara kaka io kitu ni mbaya sana kwa future yako sku unapata mtoto ameiva unashindwa kazi hamna kitu kibaya kama icho izo stress zisikie kwa mwingine
acha kujiendekeza bro kumbuka maisha yako ya baadaye yapo mikononi mwako
penda kujifunza kwa wenzio sio mpaka yakukute wewe

dis thing iz too much sasa
try to use ur brain coz iz APPS
like other apps
 
Back
Top Bottom