TESRA
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 331
- 318
Venus ni sayari ya pili ktk mfumo wa jua. lakini kwa kiswahili hujulikana kama zuhura, ni sayari inayoongoza kwa kung'aa kuliko sayari yeyote ile .........pia hujulikana kama morning star vile vile sayari hii inatabia ya kuonekana jion baada ya jua kuzama upande wa magaribi.
Venusi ipo umbari wa km 107 million kutoka jua, pia ni sayari pekee iliyo kalbu na dunia, Venus huwa inakalibiana na dunia kwa umbali wa km 38 million kutokana mwendo wa sayari....Venusi ni sayari inayo lingana na dunia ktk umbo ,sometime Venus na dunia huitwa pacha........
Venus ina sifa za kipekee ambazo huwezi kuzikuta ktk sayari zingine kama vile
1.venusi hutumia siku 243 kujizungusha ktk muhimil wake maana yake siku moja ya Venus ni sawa na siku 243 za kidunia ..pia Venus hutumia siku 224 kumaliza mwaka mmoja kulizunguka jua ko ina maanisha kwamba siku moja ya Venus ndefu kuliko mwaka ......
2.sayari nying huzunguka kutoka clockwise kwenda ant clockwise lakini ktk sayari ya Venus ni kinyume chake , bado NASA hawaja elewa kwanin Venus inaenda kinyume...............
3.Venus ni sayari yenye joto kali sana linalofikia 470c ....yaani sayari ya mercury iliyo kalbu na jua haina joto kali kama linalopatikana Venus ..........
4... Venus ni sayari yenye volcano nyingi kuliko sayari yeyote ktk mfumo wa jua ,kuna aina 1600 za volcano ktk safari ya venus....venus ni sayari yenye anga chafu kuliko sayari yeyote ktk mfumo wa jua uku ikiwa imetawaliwa na gesi chafu ya carbon dioxide ,aisee uko kikianzishwa kiwanda cha coca cola watapata faida sana maana carbon dioxide ni bure........ Pia kutokana kuwa na anga chafu inakuwa ni vigumu sana kuifanyia uchunguzi sayari hii ambapo wana astronomia wanashindwa kuitazama sura yake vizuri kwakutumia telescope kutoka duniani......venus haina mwezi ata mmoja unaoizunguka sayari hii
5......ni sayari inayo ng'aa sana ktk mfumo wa jua huwa inaonekana mda mfupi baada ya jua kuzama upande wa magaribi ,huwa inaonekana ktk nyuzi 45.. Pia asubui inakuwa ya mwisho kupotea baada ya nyota zote kupotea ......na huwa ina ng'aa sana ndiyo maana ikaitwa ZUHURA........
6.... ukizipanga sayari zote nane ktk sayari zinazoweza kusuport life basi venus itakuwa ya mwisho kutokana na kuwa na joto kali sana pamoja na vimbunga ving visivyokuwa na mwisho na volcano zinazolipuka mda wote........
7.. Urusi lilikuwa taifa LA kwanza kutuma chombo kwenda sayari ya Venus miaka iyo ya 1970's lakin vyombo vingi vilikuwa vikiungua kabla ata ya kufika lakin ata vyombo ambavyo vilifika vili tuma picha hafifu mda mfupi kabla ya kuungua kutokana na joto lililopo ktk venus .........lakin miaka ya mbeleni urusi na malekani walifanikiwa kufanya mission za kutuma vyombo ktk sayari iliyo kalbu na dunia kwa ajili ya kuichunguza venusi.......................
..........hiyo picha ni chombo kinacho itwa Venus express kilitumwa mwaka 2005 kwenda sayari ya venus......................
8..venus ina carbon dioxide nying ktk anga lake hii upelekekea sayari kuwa na joto kali..................................,....,...........................................,,.nafungua mjadala unaweza ongezea chochote.......................kuhusiana na sayari ya venusi......
.....,.... .... . muonekano wa sayari ikifika mwezi wa tano sayari km venus,mars na Jupiter zitakuwa zikionekana live bila chenga