Kuna Neno la Busara ulilowahi lisikia toka kwa Makamba

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
May 23, 2008
1,932
985
Ukimsikiliza mwendawazimu/kichaa katika wingi wa maneno yake unaweza lipata neno zuri sana lililojaa "busara/hekima" Ambalo kama ukiendelea kulitafakari linakupa uelewa mpya na kukutoa toka sehemu moja hadi nyingine.

Lakini mara nyingi ninapokuwa namsikiliza Mzee Yusufu Makamba huwa anaishia kutoa vichekesho ama maneno yenye kuumiza(hurting words) na yeye wala hajali. Nikitafakari zaidi naona upuuzi.

Stop! Stop!

Naomba unisaidie ili nisije mdharau kwa kiwango cha juu huyu mzee, kwa kunieleza kama kuna maneno ya busara aliyowahi tamka ukayasikia ama ulielezwa. Kuyajua hayo kutanishape tofauti nisimdharau baba wa watu.
 
Nshawahi kumsikia akisema rais kikwete ana sifa za kiaskofu. Ana mke mmoja na ni kiongozi. Busara hapa ni kumsifu kikwete kwa kuishi vema na salma. Pili,alìhangaika pote wakati wa kuandaa hotuba akakosa mfano bora wa kumlinganisha kikwete,akaona kikwete anakaribia kuwa na sifa kama za askofu. Busara hapa ni kuwa aliwaheshimu maaskofu kama mfano wa mwisho akilini mwake. Yote yalitokea pale Lumumba kikwete akirudisha fomu. Kisiasa makamba hajawahi kuongea neno la busara. Siku moja alikuwa akieleza kwa nini wasiingie midahalo ya uchaguzi. Akasema wakiruhusu kikwete awe na mdahalo,hata watu wa kariakoo watahoji! Sijui ndo kauli yake yenye unafuu japo ni tusi kwa wanakariakoo! Nashindwa kumwelewa msomi makamba!
 
Jamani nisaidieni CV ya huyu mzee. Nimekuwa nikiumia sana na kauli zake, hadi naogopa kuwa nafanya kosa kumfikiria kuwa chizi.
 
mh cv yake sina ila nifupi cjui kama imeandikwa ila ni mfano wa cv! Nakumbuka wakati akiwa rc dsm kwenye faili lake hakukuwa na cv bari kijikaratasi mfano wa Cv ila kifupi sana,kilikuwa na title,adress,preference na referee wazuri tu,kama cha form four akiombea tempo.
 
BUSARA zipo kwa mwenye BUSARA, ndo maana wanafalsafa tunasema, 'a wise man is not the one who answer the right answer, but who ask the the right question.. Sasa huyu Msambaa anaropoka tu, hana hata maandalizi ya kile anachotaka kuzungumza. Anajifanya jenious kwa kukariri mistari miwili ya bible kisha kuja kuzungumza na press bila hata kutafakari nini maana yake. Hakuna kitu pale !
 
Wakati akizindua kitabu"makatazo ya rushwa katika quran na biblia" alisema؛‎ rushwa ni dhambi ndiyo maana hata mwenyezi mungu ameeleza ktk vitabu vyake vitakatifu.
 
Nshawahi kumsikia akisema rais kikwete ana sifa za kiaskofu. Ana mke mmoja na ni kiongozi. Busara hapa ni kumsifu kikwete kwa kuishi vema na salma. Pili,alìhangaika pote wakati wa kuandaa hotuba akakosa mfano bora wa kumlinganisha kikwete,akaona kikwete anakaribia kuwa na sifa kama za askofu. Busara hapa ni kuwa aliwaheshimu maaskofu kama mfano wa mwisho akilini mwake. Yote yalitokea pale Lumumba kikwete akirudisha fomu. Kisiasa makamba hajawahi kuongea neno la busara. Siku moja alikuwa akieleza kwa nini wasiingie midahalo ya uchaguzi. Akasema wakiruhusu kikwete awe na mdahalo,hata watu wa kariakoo watahoji! Sijui ndo kauli yake yenye unafuu japo ni tusi kwa wanakariakoo! Nashindwa kumwelewa msomi makamba!

maana ya neno askofu=kiongozi, lakini je, huyu anayefananishwa na kiongozi anasifa za uongozi?, hivi ni kweli ana mke mmoja?, maana ktk biblia takatifu mtume paulo alisema kuwa askofu mtakaye mchagua awe na mke mmoja na awe mwadirifu, je huyu askofu wetu anasifa hizi.
 
mh cv yake sina ila nifupi cjui kama imeandikwa ila ni mfano wa cv! Nakumbuka wakati akiwa rc dsm kwenye faili lake hakukuwa na cv bari kijikaratasi mfano wa Cv ila kifupi sana,kilikuwa na title,adress,preference na referee wazuri tu,kama cha form four akiombea tempo.

Kama hii imetoke kwa Makamba basi ni HATARI kwa nchi. Inaonyesha wako wengi wa staili hii. Tuyachunguze mafaili ya wakuu wa Wilaya na wakuu wa mikoa. Na wale waliopewa vyeo kwa kuteuliwa ..... mmh.
 
cjawai ckia ninachockia ktoka kwake kuropoka,jazba, matuc kifupi apendi kmiza kichwa kufikiria aongee yy utakavyomulza jambo hatatoa jb hapo hapo
 
Back
Top Bottom