Kuna mwaka siku tarehe na siku kama ya leo nilizaliwa mimi. Unajua ni mwaka gani?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,557
3,001
Hebu tujaribu udadisi huu kidogo. Mimi nilizaaliwa miaka kadhaa iliyopita leo nimegundua siku na tarehe zimejirudia ila mwaka na mwezi ni tofauti; je, ndugu zangu mnajua nimezaliwa mwaka gani namwezi upi?
 
Tarehe imejirudia na siku pia ila mwaka na mwezi ni tofauti

Hapa kwenye mwezi kuwa tofauti ndipo umepuyanga birthday man
 
Back
Top Bottom