Kuna mtu anafahamu au kusikia kuhusu Royal Q?

Mr Suprize

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
833
862
Kuna mtu kanishirikisha Hii ishu ya kuitwa Royal Q , kwa maelezo yake kaniambia Royal Q ni Trading Robot ambalo linatrade sarafu za kidigitali cryptocurrencies ,
Kinachofanyika mtaji unaweka kwenye account yako ya Binance halafu unaruhusu robot liwe linafanya Trading ,
Kila siku unakutakana na maokoto yako (profit) inaweza kuwa $5, $10 nakuendelea inategemea na mtaji uliouweka.

Gharama ya robot NI $120 kwa mwaka , robot inapiga kazi 24 hours.

Binafsi nimekuwa kama interested ila kabla sijaingia nilihitaji kupata experience ya watu humu ndani ya JF kama unafahamu kuhusu Hii Robot na ufanis wake unaweza kushare hapa tufahamu wote au NI Q-Net mpya
 
Attachments

  • Screenshot_20240117-214617.png
    Screenshot_20240117-214617.png
    302.5 KB · Views: 12
Nami nilishirikishwa Nami pia Nikashirikisha Almashauri ya kichwa ikaniambia hiyo sio bidhaa bali ni software tu , mtu katengeneza alafu anauza zaidi ya Laki mojà ila bei hiyo nikaona kabisa kuna mtu Ana ndoto za ubilionea ila anahitaji mchango wangu kidogo Sana wa Laki mojà na kitu'...nikasepa. wajinga ndio waliwao.
 
Kuna mtu kanishirikisha Hii ishu ya kuitwa Royal Q , kwa maelezo yake kaniambia Royal Q ni Trading Robot ambalo linatrade sarafu za kidigitali cryptocurrencies ,
Kinachofanyika mtaji unaweka kwenye account yako ya Binance halafu unaruhusu robot liwe linafanya Trading ,
Kila siku unakutakana na maokoto yako (profit) inaweza kuwa $5, $10 nakuendelea inategemea na mtaji uliouweka.

Gharama ya robot NI $120 kwa mwaka , robot inapiga kazi 24 hours.

Binafsi nimekuwa kama interested ila kabla sijaingia nilihitaji kupata experience ya watu humu ndani ya JF kama unafahamu kuhusu Hii Robot na ufanis wake unaweza kushare hapa tufahamu wote au NI Q-Net mpya

nishasikia kuhusu hizi trading robot lakin sijawai muona hata mtu anatumia

uwe tayari kupata hasara pia maana accuracy yake haiko 100%
 
Back
Top Bottom