Kuna Mtanzania anafanya kazi Canada?

Wakikujia unitag...Maana mwenyewe Nina shauku ya kufika huko kutafuta maokoto..Bongo nyoso
 
Mimi yupo mtu Canada ni rafiki yangu na hayupo humu nipe swali lako nitakurudishia majibu baada ya kumuuliza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom