Kuna mitego mingine ni noma sana kutoka kwa wadada

Black poison The Factor

JF-Expert Member
May 31, 2020
856
1,260
Habari wakuu.

Leo nimekumbuka kisa changu na mdada flani pale Arusha mitaa ya mbauda, kirika a pale.

Kipindi hicho nilikuaga machinga, sasa sometimes nilikuaga napita gate kwa gate huyo dada akaniona kwa dirishan akaniambia niingie ndani aangilie ninachouza, basi bhana nilivyoingia akawa amesimama mlangoni akaniita kwa ishara ya kidole nikaenda akaniambia niingie ndani.

Akakaa kitandani kwake pale, aisee alikua ana khanga tu alafu ile khanga ikawa imeacha uwazi kwenya paja. asikwambie mtu aloo upaja mweupeee alafu umejaa supu.

Ilibaki kidogo sana nimrukie ila nikaupiga moyo konde nisije nikawa mbakaji, baada ya kuchagua akanunua, Mimi wakati huo ninavibtate balaa alafu kwa upole kabisa akaniambia mbona kama unaogopa? kaa basi nipike chai tunywe uende zako mwaya. Nikamwambia mi tayari wala asijali.

Tukaagana pale alafu akanambia uwe unakuja ntakua nakuungisha, ila sikurudigi tena pale.

ila ule mtego ulikua wa standard gauge.
 
aef68fc4e980cc0f4ee83f8376084695.jpg
 
Mm nilidhani ulitegewa bomu kumbe ni mambo ya papuchi.!!!

Hongera hukugusa mwili wake huyo mwanamke nawe ungekuwa chap kwa haraka.
 
Kuna siku nilienda kuweka kioo cha kabati kilikuwa kimevunjika ..

Nakumbuka niliacha na vifaa vyangu na sikurudi tena ..

Nikaja kusikia yule dada amewaka na kweli baada ya miaka kwenda dalili zikaanza kuonekana..

Hii mitego ya kuitiwa chumbani , tusipokuwa makini utajikuta umeuza mechi.
 
Kuna siku nilienda kuweka kioo cha kabati kilikuwa kimevunjika ..

Nakumbuka niliacha na vifaa vyangu na sikurudi tena ..

Nikaja kusikia yule dada amewaka na kweli baada ya miaka kwenda dalili zikaanza kuonekana..

Hii mitego ya kuitiwa chumbani , tusipokuwa makini utajikuta umeuza mechi.
Kwann uache vifaa mkuu?? Kuhusu kujiunga kwenye grid ya taifa nayo sio poa
 
Mwanamke humjui kirahisi tu akupe penzi, hao ni wakuchunga sana, ndo maana vijana saiv wanatembea na mpira incase
 
Back
Top Bottom