kuna mda ukiona mwelekeo sio embu angalia waliopo karibu yako na wanakuzunguka wanaweza kuwa ndio sababu

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
Hii code ngumu sana.

Ni wachache wanaoshtuka mapema ila ni wengi wasio shtuka ujikuta wakibaki kulalamika mpaka kuona mungu kawa sahau.

Kila mtu kaziliwa anapo pajua na kukulia anapo pajua.kuna maisha yana step by step ila wengi ujikuta wakiishia hapo hapo mpaka mwisho wa kufa kwake.

Mimi na usemi wangu "ukitaka kufa maskini basi kaishi na maskini"

Ni neno lenye utata ila ukitulia na kulichambua vizuri utaelewa maana ya msemo huu.

Tunapozungumza neno ili imaanishi uwezi kujiweka na maskini Hapana.
Hapa tuna zungumzia wale maskini wa Roho na Akili ndio tuliopo nao wengi hapa duniani ijalishi ni tajiri au maskini mwenyewe.

Mtu au watu wanaokuzunguka wanaweza kuwa changio kubwa lako kama msemo wangu.

Sio kila binadamu anataka upige hatua.wapo ambao wamezungukwa na hii jamii na uwafanya wabikie hivo mpaka kufa kwako ijalishi anayekufanyia ni Ndugu,jamaa,rafiki,mtaani,ukoo,familia,wanasiasa,Jf na n.k

Muelekeo wako wa maisha kitu chochote usipoweza kujua ni aina gani ya watu au jamii inakuzunguka ili kujitoa kwenye kifungo utabaki hivo hivo.

Na kumbuka maneno ya Bwana Elon Musk alipoulizwa kuhusu yeye "Mbona wewe umezaliwa africa ujataka kufanyia africa".

Jibu: Africa ina bado kifungo ata ningefanya nisingeweza kutimiza ndogo yangu.

Hapa unaona kuwa kama asingeweza kujiondoa na jamii hiyo basi ana tofauti na aliyebaki pale.

Tuna watu wengi waliotaka kufanya mazuri,kutimiza ndoto zao,fursa zilizowazi kubaniwa na mengine ile ni ao walio wazunguka.
 
Hilo lipo wazi mkuu hasa Ngono ndo kifo Cha Mafanikio ya vijana wa like na kiume
 
Ukweli mtupu mafanikio ni watu waliokuzunguka ukiwa ni pamoja na ndugu familia na kwenye kazi
 
Nishajifunza.....Mungu anisaidie tu yatimie

Mara ya kwanza kuna jamaa alikuwa anaenda china ni kamuuliza china nauli shingapi .Anacho kujibu ukate tamaa kwanza uwezi kwenda china lazima ujipange milioni 50 ndio unafika china.
Watu wakawa wanaogopa ili kuwazibia wengine walale pale pale.
akiniona anaogopa sana ila anabaki kunipondea baada kumshtukia
 
Kuna msemo unasema "you are the product of the environment that surround you.

Show me your friends and I tell you what's your future is.
 
Back
Top Bottom