Kuna mahusiano gani kunyimwa unyumba kama hujatoa hela ya huduma kwa mwanamke?

mkushite

JF-Expert Member
Sep 2, 2021
623
1,467
Hapa nazungumzia wapenzi ambao wapo kwenye mahusiano ya ndoa au uchumba. Hii mada haiwahusu wanawake wanaojiuza.

Unakuta mwanamke unamuhudumia vizuri na Hela unampa kukidhi mahitaji yake ya kila siku. Ila kama mjuavyo siku hazifanani, ikitokea anahitaji lake la Hela na ukute muda huo huna kitu atakununia na unyumba hupati.
Hapo kuna mahusiano Gani Kati ya Hela na unyumba?

Inakuwaje anakuwa na hisia za kunyanduana pindi unapompa Hela au kutimiza mahitaji yake? Na mwanamke ambaye uko naye kwenye mahusiano rasmi, akiwa na tabia kama hii ni sahihi au achukuliwe kama Malaya na Hana mapenzi ya dhati?

1663225389133.png
 
Usitoe pesa Kwa mwanamke asiye na tako tumbo flat na mwonekano mzuri Kwa pamoja kama sio mkeo, kama hana hvyo piga ata Kwa kukopa mkuu alafu tembea
 
Hapo yupo Kwa ajili ya pesa.
Hao wanawake mnawatoa wapi🤒🤒🤒

Wadada wa hivyo wako wengi sana humu mitaani, ungekuwa mwanaume Rijali unaetongoza wadada, ungewaelewa wanaoanzisha uzi humu Kulalamika kuhusu wanawake.

Wanawake wengi wana roho mbaya sana ni vile tu hujui Mideko
 
Duh, nijuavyo mimi kila mwanamke aanajiuza ila inategemea na dau lake kama aumefika au vigezo vyake hata kama ni mwanandoa naye pia anajiuza
 
Hapa nazungumzia wapenzi ambao wapo kwenye mahusiano ya ndoa au uchumba.
Hii mada haiwahusu wanawake wanaojiuza.

Unakuta mwanamke unamuhudumia vizuri na Hela unampa kukidhi mahitaji yake ya kila siku. Ila kama mjuavyo siku hazifanani, ikitokea anahitaji lake la Hela na ukute muda huo huna kitu atakununia na unyumba hupati.

Hapo kuna mahusiano Gani Kati ya Hela na unyumba?

Inakuwaje anakuwa na hisia za kunyanduana pindi unapompa Hela au kutimiza mahitaji yake?

Na mwanamke ambaye uko naye kwenye mahusiano rasmi, akiwa na tabia kama hii ni sahihi au achukuliwe kama Malaya na Hana mapenzi ya dhati?

#Ogopa matapeli
 
Hajielewi,,
Kama ni mpenzi tafuta mwingine utayejipigia zako afu huyu atakuwa tu wa text na call si ndo anachoweza ku offer usipokuaa na Hela,,
Kama ni mke ulimzoesha vibaya,,ukipata Hela mpe na usimsumbue unyumba Wala Nini Yani aelewe kwamba yeye sio "SOURCE PEKEE YA UNYUMBA HAPA DUNIANI"
 
Mkuu umeupiga mwingi🤣
 
Duka lake, bidhaa anauza, sema tangazo hajaweka
Mie bila kumungunya maneno kama demu ana kismart bin Mahela!! asee ntampa bila hata kuomba lkn kwa akili sana! ili asijue kuwa nimegundua kismart chake!

lkn kuna waleeee wenye gundu gundu na wewe!! maarufu kule Tanga km Mlango wa nane!! hapo nimepata sababu ya kumfukuza na hata kaa anione maishani mwake!
 
Kipindi hiki, mapenzi yamekuwa ni mchezo wa kuviziana. Kila mmoja anafaidi kupitia udhaifu wa mwenzie.

Watu wamejua kutofautisha upendo na ngono.
 
Back
Top Bottom