masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,906
- 13,211
Unafiki uko hivi;wakati kikwete ana shauri kwamba rwanda iongee na FDLR yeye na wenzake Kabila,Zuma,na france walikua wamekubaliana kuisaidia FDLR kuingia rwanda,na kumbuka FDLR ilikua imedhoofishwa kijeshi na rwanda haikua tishio sana,lakini hao jamaa waliwakusanya FDLR kutoka nchi mbalimbali walizo kimbiliamo na kuwahami tayari kushambulia,JK alijua ushauri wake huwezi pokelewa vizuri na alitaka kuonyesha FDLR ni jeshi lenyenguvu ambalo halikushindwa,wakati rwanda wanajua halina nguvu,na usiku huo walishambulia ili ku confirm yaliyosemwa na jk,bahati ilikua mbaya kwao na hakuna aliyerudi kutoa story,so msihadaike na maneno mazuri ya jk,ndani yake ni mtu mwingine.
Sasa mkuu wewe ndiye mnafiki, mshauri PK ageuzie pua huku kwetu, lijulikane moja, tukate mzizi wa fitna!!